Recent content by nyundo nyundo

  1. nyundo nyundo

    JamiiForums Tanzania Mwenge wa uhuru kuzindua baa!!

    Mmmmmmmh kazi imeanza
  2. nyundo nyundo

    JamiiForums Tanzania Natafuta ajira ya ualimu wa sekondari

    Mwalimu wa kiswahili mmmmmmmh
  3. nyundo nyundo

    JamiiForums Tanzania Njia hii ikitumiwa na Magufuli mwishoni mwa uongozi wake 2020 , Ikulu nyeupeee

    Nakuunga mkono mkuu watanzania wengi wanaendesha kwa mihemuko na si kudadisi na kutafakari leo utasikia msiba kuongea utumbo na mijinga mingi inashangilia so kwa jamii hii washindwe kumpa kura kwa kiki pia hata asitimue atoe tuu ajira kamarobo tatu uone kaziii
  4. nyundo nyundo

    JamiiForums Tanzania DODOMA: Spika Ndugai aeleza sababu ya kiongozi wa upinzani bungeni kutokuwa na gari lake

    kama kina bashite ndugai na wangine kariba hii ndio viongozi basi tutegemee kutumbukia kwenye korongo la ajabu Sana'a manana mihemuko ni mingi sana kipindi hiki
  5. nyundo nyundo

    JamiiForums Tanzania Uelekeo mpya wa upinzani na nguvu ya Zitto Kabwe

    zitto amebadilika sana na akiendelea hivi 2020 atakuwa na nguvu kubwa sana
  6. nyundo nyundo

    JamiiForums Tanzania Upotevu wa zaidi ya Sh. Trilioni 1.5: Ni aibu nchi nzima kumuachia Zitto pekee ahoji jambo hili!

    Duuuuh wabunge wetu wamefirisika akili swala nyeti sanaa hili Leo wapo kuzomea tuu na kusifia duuh kisha 2020 yanarudishwa na wananchi
  7. nyundo nyundo

    JamiiForums Tanzania Wabunge kutoka Zanzibar watoka nje ya Bunge wakishinikiza Muungano ujadiliwe

    Kwa nn no wazanzibar tuuu wanaotaka kuuvunja muungano????
  8. nyundo nyundo

    JamiiForums Tanzania Hatima ya RC Makonda mikononi mwa wabunge wa CCM

    wanaccm wapi?? Hawa waliotufikisha hapa name mikataba mibovu Leo wamegeuka kuwa kampeni za uchumi wa viwanda
  9. nyundo nyundo

    JamiiForums Tanzania DAR: Jeshi la Polisi lamkamata Halima Mdee akiwa Uwanja wa ndege(JNIA) akitokea Afrika Kusini kwenye matibabu

    Hawa policcm VP like limsiba ndio mnamtuma???????
  10. nyundo nyundo

    JamiiForums Tanzania Barcelona, kwanini Coutinho wakati kuna watu bora zaidi yake kama Hazard?

    Kabla neymar hajaondoka barc walikuwa wanamtaka countinho kwa hyo sio kwa ajiri ya neymar bali n kwa ajiri ya inesta pia wanaangalia mfumo wao ndio maana poulinho alinunuliwa hali kuna wachezaji wenye uwezo mkubwa na bei na umri chin yake lakn anaft na mfumo wao
  11. nyundo nyundo

    JamiiForums Tanzania Unapompinga Rais Magufuli, unapinga yafuatayo

    Naona hujui mambo wewe kati ya awamu ya nne na awamu ya tano ni wapi wanufaika wengi wa mkopo walinufaika?Vipi unaunga mkono kuzui bunge live mkutano ya baba jesca live huku akiongea uongo uliotukuka? Mfano sukari 1kg kwa 5000 wapi na mwaka gan?
  12. nyundo nyundo

    JamiiForums Tanzania WITO: Mwanafunzi wa UDSM aliyefichua ubovu wa majengo mapya ya hostel anastahili tuzo ya heshima

    Unapinga nyuma ya mtungi toka na hoji ukinga hapa baba jesca na makonda wanakusikia????
Back
Top Bottom