The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 2,334
- 3,567
Siku ya tarehe 12-07-2018 majira ya asubuhi nilikutana na adha kubwa ya usafiri maeneo ya mbezi goba. Nilipouliza nini sababu ya hiyo adha, nikajibiwa kwamba mwenge wa uhuru unaweka jiwe la msingi kwenye baa iliyopo karibu sana na barabara hivyo wamelazimika kuiblock barabara. Je ni halali mwenge uzindue hadi baa!!??