Barcelona, kwanini Coutinho wakati kuna watu bora zaidi yake kama Hazard?

caleb 4G

Member
Feb 20, 2017
83
76
Habari zenu wadau wa soka humu ndani!

Kuna kitu nafikiria je nyie mnakionaje? Hata kama hakiwezi kuwashawish wahusika,

Barcelona wamekua wakimtaka Philip coutinho wa Liverpool bila mafanikio mpaka sasa, ktokana na Liverpool kukataa offer yao.
Inaonekana Barcelona wanatafta kiungo mshambuliaji ili kuzipa nafasi ya Neymar.
Lakini england kna watu wanauwezo hata zaidi ya coutinho, mfano nzuri Edan hazard ambae pia ni kiungo mshambuliaji.

Je kwanini nguv wanayitumia kumuwinda coutinho wasiihamishie kwa hazard!?
Maoni wadau.
 
COUTINHO ni long term replacement ya Andres Iniesta anaezeeka kisoka ndio maana Barca imeshafika hadi dau la pauni zaidi ya milioni 130 kumnyakua kutoka Liverpool.

Naona walianza na Arda Turan lakini ikaonekana kama Arda Turan hawezi kuziba pengo la Andres Iniesta ambae umri umeenda
 
Hazard ni winga na coutihno ni kiungo mshambuliaji Sasa sijui mtu unaposema hazard ni zaidi ya coutinho umeangalia nini. Maana ukiwalinganisha kwa kutokea pembeni hazard ni mzuri na ukiwalinganisha kwa kucheza kiungo Kati coutihno zaidi. Usajili wa timu unaangalia mahitaji ya timu sio kwamba timu inatafuta kiungo mchezeshaji af inamsajili winger et sabab anacheza vzr winger yake
 
Kabla neymar hajaondoka barc walikuwa wanamtaka countinho kwa hyo sio kwa ajiri ya neymar bali n kwa ajiri ya inesta pia wanaangalia mfumo wao ndio maana poulinho alinunuliwa hali kuna wachezaji wenye uwezo mkubwa na bei na umri chin yake lakn anaft na mfumo wao
 
COUTINHO ni long term replacement ya Andres Iniesta anaezeeka kisoka ndio maana Barca imeshafika hadi dau la pauni zaidi ya milioni 130 kumnyakua kutoka Liverpool.

Naona walianza na Arda Turan lakini ikaonekana kama Arda Turan hawezi kuziba pengo la Andres Iniesta ambae umri umeenda
Umejibu vizuri sana mkuu pia tactically coutinho anafaa style ya soka la barca ananyumbulika sana anaweza cheza style tpfauti ya Mpira tofauti na hazard
 
Habari zenu wadau wa soka humu ndani!

Kuna kitu nafikiria je nyie mnakionaje? Hata kama hakiwezi kuwashawish wahusika,

Barcelona wamekua wakimtaka Philip coutinho wa Liverpool bila mafanikio mpaka sasa, ktokana na Liverpool kukataa offer yao.
Inaonekana Barcelona wanatafta kiungo mshambuliaji ili kuzipa nafasi ya Neymar.
Lakini england kna watu wanauwezo hata zaidi ya coutinho, mfano nzuri Edan hazard ambae pia ni kiungo mshambuliaji.

Je kwanini nguv wanayitumia kumuwinda coutinho wasiihamishie kwa hazard!?
Maoni wadau.
Barca wanahitaji mchezaji na sio panya wa kuja kuwaambia wenzie wagome, muulize jose mou anamkumbuka vizuri huyo panya
 
Kwa maoni yangu barca i ahitaji kiungo aina ya Mussa Dembele wa spurs. Jamaa ana skill, nguvu, na pumzi pia. Aina ya soka la barcelona jamaa anafit.

Haya ni maoni yangu
 
Habari zenu wadau wa soka humu ndani!

Kuna kitu nafikiria je nyie mnakionaje? Hata kama hakiwezi kuwashawish wahusika,

Barcelona wamekua wakimtaka Philip coutinho wa Liverpool bila mafanikio mpaka sasa, ktokana na Liverpool kukataa offer yao.
Inaonekana Barcelona wanatafta kiungo mshambuliaji ili kuzipa nafasi ya Neymar.
Lakini england kna watu wanauwezo hata zaidi ya coutinho, mfano nzuri Edan hazard ambae pia ni kiungo mshambuliaji.

Je kwanini nguv wanayitumia kumuwinda coutinho wasiihamishie kwa hazard!?
Maoni wadau.
Suala si ubora wa mchezaji binafsi. Ni namna atakavyo fit kwenye mfumo wa timu nzima. Hilo moja. Pili, pale kuna mfalme Messi, wengine lazima wakubali kuwa second best. Hazard atakubali?
Ndiyo maana Ilibidi Zlatan aondoke wakati ule. Hakupenda kucheza winga
 
Habari zenu wadau wa soka humu ndani!

Kuna kitu nafikiria je nyie mnakionaje? Hata kama hakiwezi kuwashawish wahusika,

Barcelona wamekua wakimtaka Philip coutinho wa Liverpool bila mafanikio mpaka sasa, ktokana na Liverpool kukataa offer yao.
Inaonekana Barcelona wanatafta kiungo mshambuliaji ili kuzipa nafasi ya Neymar.
Lakini england kna watu wanauwezo hata zaidi ya coutinho, mfano nzuri Edan hazard ambae pia ni kiungo mshambuliaji.

Je kwanini nguv wanayitumia kumuwinda coutinho wasiihamishie kwa hazard!?
Maoni wadau.
Eden Hazard mpira wake sio wa kibaselona, yeye Real inamfiti zaidi. Mpira wa barca sio makaunta ataki. Hazard ni winga, barcelona mpira wao tik tak hawategemei mawinga sana.
Coutinho fits the bill perfectly.
 
Back
Top Bottom