Natafuta ajira ya ualimu wa sekondari

ntabudjo

Member
Jun 1, 2016
70
64
Habari za majukumu ndugu zangu mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu cha dar es salaam natarajia kumaliza shahada yangu ya ualimu mnamo wiki ijayo

Nina uwezo wa kufundisha masomo ya HISTORY KISWAHILI na CIVICS niko tayari kufundisha polote tanzania kama masilahi yakiwa mazuri

Naombeni mnsaada maskini mwenzenu

Kwa mawasiliano yeyote naomba uni pm nikupe namba yangu
 
habari za majukumu ndugu zangu mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu cha dar es salaam natarajia kumaliza shahada yangu ya ualimu mnamo wiki ijayo

nina uwezo wa kufundisha masomo ya HISTORY KISWAHILI na CIVICS niko tayari kufundisha polote tanzania kama masilahi yakiwa mazuri

naombeni mnsaada maskini mwenzenu

kwa mawasiliano yeyote naomba uni pm nikupe namba yangu
Napata shaka na uwezo wako;
Polote=Popote
Masilahi=Maslahi
Mnsaada=Mnisaidie au msaada
Mashaka yangu ni hayo tu mwalimu wa kiswahili
 
Imebidi Nicheke!Maana Huku Tumejaa Wengi Sana Kama Wewe!Sikukatishi Tamaa Bali Nakwambia Ukweli Sababu Msema Kweli Ni Mpenzi Wa Mungu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom