Recent content by nyumba nampoka

  1. N

    JamiiForums Tanzania Vituko vya Maisha ya Boarding, Tukumbushane Tuliosoma Huko

    Kwa wale wa Ununio boys kulikuwa na siku ya bendera nyekundu. Hapa panataka ukomavu wa vidore kwa Ajili ya kupakuwa wali kwa mikono zamaaaaaaniiii...... Sanaaaaa!!!
  2. N

    JamiiForums Tanzania Mtumishi wa Mungu Gwajima yuko wapi siku hizi?

    Zilipendwaa.........
  3. N

    JamiiForums Tanzania Wasomi waliofeli maisha ndio wanaoichukia CCM na serikali yake

    Swaaadaktaaa kabsaa kijana,hakuna mkulima anajituma akae alalamikie serikali hii ya sasa ilaa hawaaa waliokaa kutegemea siasa ndio ishii yao imekula kwao,na watakiona kwelikweli miaka kumi hiii.........,
  4. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mke aliyeathirika na virusi vya UKIMWI

    Utapata tuu.....usivunjwe nia na wajinga wachache.
  5. N

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mifuko ya viroba

    Weeeee.....ishia apo ivyo Mimi nataka kuitwa team wasiojulikana.shida angu nataka kupaki mazao ivyo naviitaji kwa wingiiiii........upoo??????
  6. N

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mifuko ya viroba

    Habar zenyuuuu wadau shida nijuwe mkowa unaotengeneza mofuko ya viroba?
  7. N

    JamiiForums Tanzania Mgombea binafsi Tanzania: Tatizo ni nini?

    Walipokutana kwenye mkutano wao wa mwezi wa 2/3 mwaka huu.
  8. N

    JamiiForums Tanzania Mgombea binafsi Tanzania: Tatizo ni nini?

    Kule kwenye NEC wamepitisha kuwa hakuna mchujo baada yake watakuhukumu wananchi unaowaongoza kwa kukutua na kumpa wa upinzani,ikicheza vibaya na wapiga kura wako,ingekuwa powaa sana kma na wapizani wangecopy hii kitu.
  9. N

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Inasemekana Nape Nnauye kavuliwa Uanachama wa Chama cha Mapinduzi..

    Mtaalamu wa magori ya mikono,siyo kweli kwa hilii........,
  10. N

    JamiiForums Tanzania Unalikumbuka igizo la Tausi?

    Ni kweli kabsaa,ezi ileee ya CTN,dtv, tv za black and whiter.
  11. N

    JamiiForums Tanzania Unalikumbuka igizo la Tausi?

    Neno chokora damu nilipata kulisikia huku ,zamaanii.....sana
  12. N

    JamiiForums Tanzania NYARAKA: Wizara ya Madini iliidhinisha thamani ya Almasi ya Sh. Bilioni 14 kama thamani ya awali kusubiri mnada Ubelgiji

    Tayari imetifishwa hata pakisemwa nini haitakuja kubadili ukweri,kuhusu kuongezewa deni sawaa tuu.kutoka 14 hadi 25 haya ndio mapambano ya kukomboa hili taifa,tulikuwa na serikali nyonge na sikivu lakini bado tulilipa madeni kwaiyo tugonge glass maisha yaenderee.......
  13. N

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa Serikali akiri ndege mpya ya Bombardier Q 400-Dash 8 kushikiliwa nchini Canada. Awatupia lawama wanasiasa...

    Ukosefu wa maadili na uzalendo ndio kunakotaka kutuingiza kwenye matatizo
  14. N

    JamiiForums Tanzania Nilichokiona kwenye simu ya mdogo wangu wa kike! So sad!

    Kama unamfikania katka kuongea nae basi ongea nae kma inashikana tuma hata jirani wa kike asemenae,itasaidia labda.
Back
Top Bottom