Mtumishi wa Mungu Gwajima yuko wapi siku hizi?

Mtumishi wa Mungu Gwajima yuko wapi siku hizi?

hua akiliamshaga mnaanza kuomba lilale mapema haya
 
Huyu mtumishi yuko wapi siku hizi? Amekuwa kimya mno kuliko kawaida yake, nini kimemfika?

Vipi kuhusu ile ndege yake ilishatua bongo?

Nadhani si kwangu wengi wamemmisi Mzee wa kuliamsha dude,

Napenda staili yake, Mungu ampe afya njema Aliko,
Yupo mkuu katulia tuli nakanisa lake alamaya x imeenda kutua kule nyuma kabisa linaondoshwa lote na notes ya siku 30 juu
 
Huyu mtumishi yuko wapi siku hizi? Amekuwa kimya mno kuliko kawaida yake, nini kimemfika?

Vipi kuhusu ile ndege yake ilishatua bongo?

Nadhani si kwangu wengi wamemmisi Mzee wa kuliamsha dude,

Napenda staili yake, Mungu ampe afya njema Aliko,
Kaenda kuchukua treni
 
Atulie tu kwani alivyokua anajiinguiza kwenye siasa alinikera sana. Unamtukana mtu kwenye jukwaa la dini bila haya. Kwa kuwa alisona tu Bible bila falsasafa hakujua atendalo. Basi tulia hivyo hivyo na uangalie video zako za nyuma ili ujikosoe
 
Back
Top Bottom