Recent content by Nyrum

  1. N

    Msaada: Jinsi ya kumsaidia mtu mwenye lesbian

    Habari ya usiku wandugu, Jamani mimi nimepatwa tatizo leo, kuna binti anafanya kazi na mdogo wangu leo nilienda kumsalimia dogo nikamkuta yupo na huyo mwenzie nae ni muajiriwa wa hapo. Huyo binti sasa ndio tatizo kumbe ni lesbian, yani kanizoea gafla mara dada nakupenda una rangi nzuri mara...
  2. N

    Nimeumia sana

    Huyo sio mwanaume uliezaa naye, ni MVULANA
  3. N

    Pole sana dada

    Yan huna hata haya unaona alichomtendea malaika huyo ni haki? Huo ni upuuzi, cdhan kma wew ni great thinker! Hata kma boss kamuudhi ndo amdhuru mtoto??? haiingii akilini. Unajua mtoto wangu ameniumaje? Me mwenyew kumpga mwanangu naogopa af just a maid aje anifanyie hivyo mwanangu??? Mfyuuu...
  4. N

    Hot story

    Kwani tuliwaomba wailete? Wanajishauua kma kitu gani vile!!!! Hayo mambo ya kununua kitabu kama ulijua yapo ulileta humu story yanini? Mnajishaua kuanzsha story ikinoga mnaanza kunata! Ebu mtutokee huko! Watu tushalewa na utamu gafla mnaukatisha! I hate u all mlioleta hadith yenu humu!
  5. N

    Vumbi lafunika anga

    Mwisho wa dunia jamani
  6. N

    Anang'ang'ania watoto wangu

    Ahsante mkuu, yani mambo haya basi tuu! Jamaa kataman tu mapacha huyu
  7. N

    Anang'ang'ania watoto wangu

    Habari wanajamvi, nadhani mambo yanaenda vyema. Leo nimepata ugeni mdogo wangu mtoto wa mama mdogo kaja kunitembelea nyumbani kwangu. Kanieleza tatizo lake nimeshndwa jinsi ya kumsaidia nikaona nijaribu kushare nanyi nipate chochote chakumsaidia. Haya wandugu mkasa wenyewe upo hivi, bidada...
  8. N

    Mbona Majanga

    Majaangaaaaaa
  9. N

    Ujinga wa Kukolea penzi la muda ukaharibu familia

    Unakuta mume hamridhishi sa afanyeje dada wa watu jaman. Kuwa mke wa mtu sio tatizo yeyote anaolewa, tatzo yaliyomo yamo????
  10. N

    Sababu za kwa nini huwa tunachepuka

    F kuna wanaume wengne hawajali hisia za wake zao. Mfano mnasex mara moja kwa mwez, kila ukmtega mwanaume hategeki ufanyeje,? Unakuta umezdiwa na pemben kuna kijana rijali anakusumbua anataka akupe linyama lake! Khaa chakutesekea nin? Unachepuka vizuri yey muache aendelee kujifanya anakubania...
  11. N

    Polisi yakanusha kuwa hakuna Watu wanaoteka na kuua Wanafunzi kwa kutumia Noah

    Jaman hiyo kitu ni kweli msibishe, kuna jamaa yeye ni wakala wa mikoani ananunua figo, vizazi vya wanawake na watoto wadogo. Leo maeneo ya mbezi kwa msuguri kuna mtoto alitekwa tangu juzi amebakwa amechinjwa then wameileta maiti nyumbani kwao. Huyo jamaa ni mwenyej na mzaliwa wa chimala mbeya...
  12. N

    Hadithi: Wakili wa moyo

    Yan mapenz haya jaman!! Mage naye hajielew maskn. Hv hans aktoka jela atamfuata atamwambia Nakupenda.
  13. N

    Hadithi tamu: Hisia zangu

    Kuna somo hapo tena muhimu sana kwetu vijana.
  14. N

    Wazamani amerudi

    Eeh!!! Thanx wote jaman kwa ushauri na changamoto, hatimaye mdada kafanya maamuzi. Hayo yametokea jana baada ya kugundua kwamba huyo wazamani hawez kuwa kama mumewe, wamevumiliana mengi. So amemsamehe mumewe warudiane!!!
  15. N

    Wazamani amerudi

    Nikwel usemacho ndugu, bt utata upo hivi, anampenda sana jamaa wa primary , na aliekuwa mumew ndo anataka watoto wasikose malezi ya baba na mama kwa pamoja!
Back
Top Bottom