mwanza yote yangu
Senior Member
- Aug 28, 2014
- 141
- 30
M wanawake wengi hawajui ile sababu za kuhitaji yani factors of demand, hasa ile ya "change in taste or fashion" unakuta mke wako kila kukicha ndo anazidi kuwa boya hajui kujibadilisha kuanzia mapigo kitandani, mavazi, uzungumzaji , mapishi kila kukicha yeye mambo Yale Yale . Ndo maana nachepuka na madem wengine kupata ladha tofauti na zile za mke wangu