Wazamani amerudi

Wazamani amerudi

penzi jipya lina raha yake jaman, embu aende kwa huyo kijana waanze maisha upya, huyu mumewe amekosa wa kumnyanyasa tena ndo mana anataka amrudie.... hata iweje nyumba ikiwa haina amani watoto hawataona thaman ya uwepo wao kwao
 
Hiyo kampuni iliyofunguliwa inaitwaje? Ameanza kutoa nafasi za kazi? Em zipost hapa tafadhali
 
Mama rudi tu kwa mumewe maana si rahisi kuolewa na huyo kijana wake wa zamani
 
Eeh!!! Thanx wote jaman kwa ushauri na changamoto, hatimaye mdada kafanya maamuzi. Hayo yametokea jana baada ya kugundua kwamba huyo wazamani hawez kuwa kama mumewe, wamevumiliana mengi. So amemsamehe mumewe warudiane!!!
 
Back
Top Bottom