Recent content by nyoto

  1. N

    JamiiForums Tanzania Errors in genesis

    Ungekuwepo wakat dunia inaumbwa ningekuelewa. Kile ambacho unaona kidunia principle kwa Mungu ni kinyume ukitaka kujua mwamini na uombe akuonyeshe majib ya maswali yako lakin sio kutumia principle za waumbwa
  2. N

    JamiiForums Tanzania Errors in genesis

    Mungu Hachunguziki
  3. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu amegundua baba yangu alimuua baba yake

    Pole sana. Ulifanya kosa kumficha toka mwanzo wa mahusiano yenu.
  4. N

    JamiiForums Tanzania Polisi Mkoa wa Mara wavamia usiku huu na kumkamata mgombea wa CHADEMA

    Usiombe. Sikia kwa wenzio tu.
  5. N

    JamiiForums Tanzania Polisi Mkoa wa Mara wavamia usiku huu na kumkamata mgombea wa CHADEMA

    Mwenye busara siku zote katika jambo kama hili atapenda ajue sababu ndipo aseme.
  6. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tangu apate kazi kila siku ananiambia niko bussy, nifanyaje?

    Kuna uwezekano mkubwa mawasiliano amepeleka sehem nyingine.
  7. N

    JamiiForums Tanzania Msimamo wetu sisi CHADEMA asilia

    Pamoja sana
  8. N

    JamiiForums Tanzania Magufuli the icon that fits our Country situation.

    Magufuli rais ataondoa kila uozo na ana msimamo wa kubadili mfumo.
  9. N

    JamiiForums Tanzania Magufuli the icon that fits our Country situation.

    Magufuli rais nyie pigeni kelele lakini huyo ndo rais wako ajae
  10. N

    JamiiForums Tanzania Fredrick sumaye namkubali january makamba

    Magufuli rais awamu ya tano. Ukiwa itakufa baada 25 oct
  11. N

    JamiiForums Tanzania Sema usikike: Kwanini utamchagua Dr. Magufuli au Edward Lowassa?

    Chaguo langu ni magufuli. Mimi si mtoto mdogo wa kuambiwa pilipili ni pipi nikakubali.
  12. N

    JamiiForums Tanzania Asante Magazeti ya Leo kwa kuitendea haki taaluma ya Habari hapa Tanzania

    Mbona ww umenunuliwa na cmm b
  13. N

    JamiiForums Tanzania Lowassa katika kashfa nyingine

    Walitaka waambiwe lowasa kashinda ndo waliridhike.
  14. N

    JamiiForums Tanzania Maneno Machache Ujumbe Mzito: Kukataliwa Treni la Lowassa Kwaja, Abiria Wajiandae

    Kama ukawa leo wanagombania majimbo kwenye uwaziri itakuwaje? Wasubiri miaka mitano ijayo wajipange kwanza.
  15. N

    JamiiForums Tanzania Hivi na halali kumuita Lowasa fisadi?

    Kwa nini hujiulizi walioanza kumuita lowasa fisadi Ni akina nani mpaka akajiuzulu uwaziri mkuu halaf ndo ushangae wengine kumuita fisadi.
Back
Top Bottom