Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,347
- 26,153
Jitokeze sasa utoe maoni yako hapa tukielekea kwenye uchaguzi mkuu wa Oktoba 25 mwaka huu. Hapa Jukwaani kumejitokeza wafuasi na wanaowakubali wagombea wawili wa Urais. Wagombea hao ni Dr. John Pombe Magufuli wa CCM na Edward Ngoyai Lowassa wa CHADEMA/UKAWA.
Nawaulizeni waungwana, kwanini utamchagua Dr. Magufuli au Lowassa? Nini kinakuvutia kutoka kwa mgombea huyo? Hapa nalenga kuona hoja na si kusema tu kuwa utamchagua Dr.Magufuli au Lowassa. Sema hapa uimara na udhaifu wa mgombea ili umma ujue.