mtoto wa maskini
JF-Expert Member
- Jun 28, 2013
- 1,152
- 638
Nimekuwa nafatilia siasa za CCM na UKAWA lakini ninaona CCM wakimtuhumu Lowasa ni fisadi, ninaomba kuuliza,
1.je ni chombo kipi kina mamlaka ya kusema kiongozi fulani ni fisadi?
2.kama mtu anayesemwa fisadi hajashtakiwa je sio kosa kisheria kumuita mtu fisadi?
3. Kwa mfano mtu akiandika JK fisadi bila ushaidi unataka kuniambia hataweza kukamatwa? Kama atakamatwa je kuna double standard hapa ya sheria?