Recent content by nyotayao90

  1. N

    JamiiForums Tanzania Ajira za Ualimu 2015/2016 zinatoka lini?

    Punguza presha we subiria ajira utaipata tu kabla mwaka haujaisha.! je ungesoma kozi nyingine za kutafuta kazi mwenyewe ungekuaje.? we subiria ukiona hazitangazwi ujue muda haujafika muda ukifika serikali itatangaza kwamba ajira zimetoka tayari., tatizo vijana tunakuwa na haraka sana ya maisha.
  2. N

    JamiiForums Tanzania Interview Eastern Zone NMB

    wewe ndo ukasome tangazo lao la kazi vizuri afu uchanganye na uelewa wako
  3. N

    JamiiForums Tanzania Diamond Vs Ali Kiba

    Kwa upeo wangu., hili bifu la hawa watu wawili linakuzwa ili kumtafutia jina Ali Kiba ambaye alishapotea kwny ramani ya muziki.! naamini kwa wakati huu Diamond ni bora zaidi na hastahili kulinganishwa na Ali Kiba.!
  4. N

    JamiiForums Tanzania Msanii Recho hivi ni kweli unayoongea?

    TID Mnyama a.k.a Warioba kala mzigo pale na inasemekana alishaanza kumvutisha hadi unga
  5. N

    JamiiForums Tanzania Programme hizi zinatofauti gani?

    Bachelor of Accounting and Finance (BAF), Bachelor of Arts in Accounting and Finance (BA-AF) na Bachelor of Science in Accounting and Finance (Bsc-AF)
  6. N

    JamiiForums Tanzania Exim Bank (T) Limited

    Hawa Jamaa kazi zao wanatangaza wapi.? natamani nipate hata kazi ya Bank Teller., maisha magumu kwel mtaani
  7. N

    JamiiForums Tanzania Kufanya kazi Bandari au TRA?

    Namshauri arudi kijijini kulima
  8. N

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupata Internship, Volunteering, Temporary job or Permanent job

    Ndugu nlikutumia cv na vyeti kwenye hiyo email but mpaka leo kimya., vipi ulipata documents zangu.?
  9. N

    JamiiForums Tanzania Interview Eastern Zone NMB

    NMB hamna Coastal Zone, kuna Eastern Zone inayojumuisha mikoa ya Dar Es Salaam, Pwani na Morogoro
  10. N

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupata Internship, Volunteering, Temporary job or Permanent job

    ulipataje PPF na mm nikajaribu.., mimi nipo DAR
  11. N

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupata Internship, Volunteering, Temporary job or Permanent job

    Kaka tangazo lako lilikuwa linataka uzoefu miaka 5 na mimi ni fresh from college.., kuhusu PM wananiambia mpakaniwe na post 5 Kaka na mm ni mpya humu., labda unitumie namba yako nikucheki Kaka
  12. N

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupata Internship, Volunteering, Temporary job or Permanent job

    poa ndugu ntakutumia
  13. N

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupata Internship, Volunteering, Temporary job or Permanent job

    Yes nina academic transcript na cheti cha form 4 na form 6
  14. N

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupata Internship, Volunteering, Temporary job or Permanent job

    Husika na kichwa hapo juu, mimi ni mvulana mwenye umri wa miaka 24, nimemaliza Bachelor ya Accounting and Finance mwaka jana., naomba msaada wenu wakuu moja wapo kati ya hayo niliyoainisha.! ni katika company, bank or organization yeyote
Back
Top Bottom