Recent content by Nyonga mkalia ini

  1. N

    Leo National Stadium: Simba SC vs Azam FC

    Mkuu ndomyana leka owotongolo Yanga amebakiza mechi 4 ambazo zidi ya Mgambo JKT,Ruvu JKT,Coast Union na wakalia LIBOLO FC(Simba) hapo akishinda mbili tu tayari katangaza ubingwa:msela:
  2. N

    Leo National Stadium: Simba SC vs Azam FC

    bado inshu zao za kucheza kiwifi wifi zinaendelea hamna lolote hao,tena bora waishie droo ili Yanga tuzidi kunemeka:msela:
  3. N

    Leo National Stadium: Simba SC vs Azam FC

    Mkuu Makoye Matale mechi ya leo kuwa nzuri au mbaya ilitazamiwa matokeo ya ya jana,kama Yanga ingefungwa jana au droo basi leo Simba angerushu LIBOLO la Azam limpelembe ili kuikomoa zaidi Yanga,sasa ushindi wa jana kwa Yanga labda uwifi leo hautakuwepo ili Simba alinde apunguze mgogoro.But it's...
  4. N

    Leo National Stadium: Simba SC vs Azam FC

    Baada ya jana kushuudia mchezo na Yanga kuibuka na ushindi mnono wa goli 3 - 0 dhidi ya Oljoro JKT,leo tena jioni tutashuhudia mtu na wifi wakimenyana kinafiki uwanja wa Taifa mara nyingi sana mechi ya Simba na Azam huwa inapoteza radha kabisa kutokana na kucheza kiwifi wifi :msela:
  5. N

    Yanga vs JKT Oljoro!!!

    hata hizo negative alizonazo hashirikishi ubongo wake kufikiria bali anatumia sehemu ya haja kubwa kufikiria
  6. N

    Yanga vs JKT Oljoro!!!

    Oljoro wanafanya sub ya kipa
  7. N

    Yanga vs JKT Oljoro!!!

    Nizar anapasha ili Kavumbagu atoke mana hayupo kwenye form leo
  8. N

    Yanga vs JKT Oljoro!!!

    kipindi cha pili kimeanza
  9. N

    Yanga vs JKT Oljoro!!!

    half time Yanga 3 -oljoro 0
  10. N

    Yanga vs JKT Oljoro!!!

    tunakuja kula ya kwako
  11. N

    Yanga vs JKT Oljoro!!!

    Yanga 3
  12. N

    Yanga vs JKT Oljoro!!!

    Nsajigwa a.k.a Babu anaingia
  13. N

    Yanga vs JKT Oljoro!!!

    Yanga inatisha uwanjani hapa,mfungaji alikuwa canavaro alifunga mpira wa kona kwa kichwa
  14. N

    Yanga vs JKT Oljoro!!!

    Yanga 1 Oljoro 0
  15. N

    Yanga vs JKT Oljoro!!!

    mpira umeanza,Yanga wamevaa jezi ya kijani huku mabegani kuna michirizi ya njano na Oljoro wamevaa blue bahari mabegani kuna rangi nyeupe
Back
Top Bottom