wewe acha tu, wakati mwingine hatuendi kazini kwaajili ya mshahara tu, sababu nyingine ni 'status'! wengi tunadhani nikionekana nimeajiriwa sehemu fulani basi mimi ni tofauti na yule anayekaa nyumbani, anaonekana elimu yake haijamsadia, mimi nimesoma lazima nitumie elimu yangu, n.k n.k haya...