Nyleptha
Member
- Jun 19, 2012
- 69
- 47
Habarini wanajamvi,
Nahitaji fundi wa kushona nguo kwa kutumia cherehani (fundi cherehani/tailor), awe amehitimu mafunzo yake vizuri japo sitaangalia vyeti bali uwezo wake katika kushona nguo yenye kiwango kizuri, pia awe mbunifu isiwe kila kitu aangalizie desa mahali. Nitamuhitaji fundi huyu kwa kazi maalumu kwamba anapofanya kazi yangu asiwe na viporo vya mtu mwingine, na atalipwa siku hiyo hiyo kuendana na kazi aliyokamilisha. Kwa fundi mpya aliyehitimu akiwa hana vifaa atapewa vifaa vyote ambavyo ni bure wala hatakatwa ktk malipo yake.
Kama una ndugu au rafiki unamfahamu tafadhali nitumie pm ili tupeane mawasiliano.
NB: Nahitaji fundi aliyepo dar es salaam.