Recent content by Nyiluka

  1. Nyiluka

    GE2025 Picha: Mtoto wa Rais Samia, Wanu Afidh Ameir achukua fomu kuwania Ubunge huko Makunduchi, Zanzibar

    Sio jambo jipya, kwani alishakuwa Mbunge kabla mamaake hajawa Raisi. Kuwania kupitia jimbo ni jambo zuri ili isije ikatafsirika amepewa kwa viti maalum
  2. Nyiluka

    Maktaba Imepokea Kitabu Cha Rajabu Ibrahim Kirama

    Utaratibu wa kukipata upoje?
  3. Nyiluka

    KERO Shule kutofungwa wakati wa likizo ni udhaifu wa Kamishna wa Elimu na watendaji wake

    Shida sio Kamishna wa Elimu, shida ni wazazi wa Wanafunzi. Wazazi wengi hawataki kukaa na watoto wao nyumbani, hivyo upendekeza watoto wabaki shuleni kipindi cha likizo. Kamishna wa Elimu anatoa maelekezo na Wathibiti Ubora wa Shule huwa wanafanya ufuatiliaji kwa shule ambazo hazijafungwa...
  4. Nyiluka

    Ajira za ualimu zilizotangazwa kutoka kwa mwajiri ambaye ni MDAs na LGAs, je unaenda kufundisha wapi na level gani?

    Walimu hao ni wa Sekondari na watapangiwa kufudisha katika shule za Sekondari za Halmashauri husika. Kikawaida, kwa WAlimu hata ajira ikitolewa moja kwa moja kutoka TAMISEMI, ukishapangiwa kituo cha kazi tu Mwajiri wako anakuwa Mkurugenzi wa Halmashauri husika
  5. Nyiluka

    Ni maendeleo gani Makonda aliyoyafanya akiwa mkuu wa mkoa wa DSM?

    Mheshimiwa Makonda alidhibiti matumizi ya dawa za kulevya, alisaidia kuzuia mashoga kutokujiachia (alidhibiti ushoga), alisaidia watoto kupata bima za afya, alisaidia walimu kuthaminiwa kwa kufuta nauli za daldala kwa walimu na alihakikisha uimarikaji wa ustawi wa jamii kwa kuwashughulikia...
  6. Nyiluka

    Hesabu iliyomliza Abdul Nondo wa ACT Wazalendo huko Mbarali 63+40+2+1 = 70. Zamani angesingiziwa Magufuli!

    Unaweza kuta wameamua wasiibe hizo za ACT, ila wameamua wajikadirie tuu zao
  7. Nyiluka

    Magomeni Kwa Zito Usiku

    Ndo mtaa gani hapo kwa Zitto? Au ni pale kunapoangaliana na Shibam iliyoungua?
  8. Nyiluka

    Abdul Kambaya ajiondoa CHADEMA

    Kama wapo vizuri si waanzishe chama chao
  9. Nyiluka

    Lissu: Nitarejea Tanzania endapo yafuatayo yatafanyika

    Kwani nchi inakosa nini yeye asiporudi?
  10. Nyiluka

    Kwanini watu hawa hawatajwi sana kwenye Historia ya TAA na TANU?

    Hii ni kama vile nyumba iliyozaliwa TANU pale mwananyamala wanavyoisahau
  11. Nyiluka

    Buriani Bi. Zainab Sykes, mhifadhi wa hazina ya nyaraka za historia ya kupigania huru wa Tanganyika baada ya kupata taarifa ya msiba wa mama yangu

    Naomba ugusie kidogo na ile nyumba ambayo TANU iliundwa pale Mwananyamala A kwa Mwinjuma
  12. Nyiluka

    Kwanini kugombea Urais ni 'very addictive'?

    Zile kura za urais kuna kiwango kikifikia chama huwa kinapata ruzuku. Kwahiyo, ni muhimu kuweka mgombea urais labda iko kiwango kinaweza kufika na chama kikipata pesa ya kujiendesha. Ila sidhani kama wanaogombea wana nia nyingine zaidi ya hii, mana kuhusu kushinda sio kweli, kwasababu kuna...
  13. Nyiluka

    Nchambi na kesi ya Uhujumu Uchumi: Dhamana ipo wazi

    Haina shida, huyo ni Mbunge wa chama tawala hawezi kutoroka Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom