Nchambi na kesi ya Uhujumu Uchumi: Dhamana ipo wazi

Naamini sasa wewe na wenye mtazamo hasi na mamlaka, kama wewe, mna matatizo ya kisaikolojia.

Yawezekana pia hamjiamini maana hakuna jema lolote mnalolijua. Mtu akipita na vicheko vyake utakasirika ukidhani anakucheka wewe. Du!

Tahadhari COVID-19 itakuwepo kwa muda mrefu, hivyo basi:-

JIKINGE UMKINGE JIRANI

JILINDE UWALINDE UWAPENDAO
 
Na muda si mrefu utaambiwa hilo Jangili sugu limeshakaa na DPP kama ilivyokua kwa yule Jangili mwingine wa Mbarali, na lile Jangili lingine sugu limdogo lake Rostam Aziz, na hivyo linakubaliana kulipa fidia, na kesi itafutwa.

Halafu yule jamaa wa Chadema waliyembambikizia ule unga, kesi yake eti haina dhamana!! Ujinga mtupu.
 
CCM kwa kulindana tu wako vizuri,hapo hakuna kesi si umeona mihela aliyoitoa huyo bwana nchambi..hapo ndio mi-ccm utaiyona rangi yao halisi kwa uroho wa pesa...

Mhujumu uchumi analotelewa kwa dhamana lakini wale masheghe ambao hata upelelezi wa kesi yao inayowakabili kwa miaka takribani 9 hivi wananyimwa dhamana ili hali upelelezi haujakamilika.

The world is not fair......Yaani kuwa M-CCM jua ya kwamba upo juu ya sheria hapa nchini.hata ile kesi ya Kangi ya kutaka kutafuna litirilioni hauisikii kwa sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tujielimishe kidogo by fb attorney

Unbailable offences are listed in the penal legislations. Currently, unbailable offences are listed in section 148(5)(a) of the Criminal Procedure Act and section 29(1) of the Drug Control and Enforcement Act, 2015. Section 36(4) of the Economic and Organised Crime Control Act can also make an economic offence unbailable though for now that provision does not list any economic offence. Unbailable offences under the Criminal Procedure Act are murder, treason, armed robbery, terrorism, money laundering, and human trafficking.

The biggest challenge to bail nowadays is money laundering. Once money laundering is charged along with bailable predicate offences, the entire case becomes unbailable. Hence, although the predicate offence is in itself bailable, because it is charged with money laundering, one is denied bail. The list of predicate offences is very long and includes offences like tax evasion, terrorism, corrupt practice, armed robbery, theft, smuggling, extortion, forgery, hijacking, insider dealing, poaching, illegal fishing, illegal mining, environmental crimes to mention a few. Hence it is possible to make many offences unbailable by charging the predicate offence along with money laundering meaning that bail can be denied even for offences that would normally be bailable.
Tukumbuke hivi sasa kuna kikao muhimu sana cha bunge la bajeti, kikao hiki ukipoteza mbunge mmoja basi unaweza kuivuruga bajeti mzima, hivyo ni muhimu uzalendo ukatumika kuamua mwenendo wa kesi hii.
 
Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Shinyanga, imetoa maamuzi kuwa Mbunge wa Kishapu Suleiman Nchambi, ambaye anashitakiwa kwa makosa 12 ya Uhujumu Uchumi, ana haki ya kupewa dhamana kwa masharti.

Akitoa maamuzi ya maombi ya dhamana hiyo leo Mei 15,2020 Jaji wa Mahakama hiyo Phocus Mkeha, ambaye alikuwa akisikiliza maombi ya dhamana hiyo, amesema mbunge huyo ana haki ya kupewa dhamana kwa masharti ya kusaini bondi ya Shilingi Milioni 50, na mdhamini wake bondi ya Milioni 10, pamoja na kushikiliwa passport yake ya kusafiria,.

Chanzo: Nipashe

My Take:Nchi hii sasa sheria za mahakama zetu naona zinatofautiana.,Wapinzani na Makada kesi zinaendeshwa kwa sheria tofauti naona.

Maendeleo hayana chama jamani
Corrupted country inawapa Majangili dhamana, angekuwa China angeshanyongwa muda mrefu huyo mp.uuzi
 
Na muda si mrefu utaambiwa hilo Jangili sugu limeshakaa na DPP kama ilivyokua kwa yule Jangili mwingine wa Mbarali, na lile Jangili lingine sugu limdogo lake Rostam Aziz, na hivyo linakubaliana kulipa fidia, na kesi itafutwa.

Halafu yule jamaa wa Chadema waliyembambikizia ule unga, kesi yake eti haina dhamana!! Ujinga mtupu.
mkuu WHO wamesema huenda? Hawaja conclude Kama unavyofanya wewe
 
Mbunge Selemani Nchambi(CCM) aliyekutwa na Silaha Nyumbani kwake zilizoamininika Kuwa zinatumika ktk ujangili hatimaye atapata DHAMANA
FB_IMG_15896097856475297.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
aisee sisiemu wanafaidi sheria ambazo zimekua kama zina macho, au zinabagua, maana sheria hizo hizo zikienda kwa wapinzani hali inakua nyingine
 
Back
Top Bottom