Recent content by Nyenjerothom

  1. Nyenjerothom

    JamiiForums Tanzania Nina tatizo la kutoa hewa chafu kila baada ya dakika mbili au tatu naombeni msaada

    Hicho ni kiashiria cha vidonda vya tumbo.
  2. Nyenjerothom

    JamiiForums Tanzania Soma upate mawili matatu: Mhitimu mambo ninayopitia kipindi hiki katika harakati zangu

    Vema umejua mafanikio yanapitia baadhi ya michakato ndiyo maana walioishia darasa la Saba wanaanza kupitia michakato mbalimbali hadi yule waliesoma nae kama alienda chuo lazima amkute std seven ameshapitia challenge nyingi na inakuwa kawaida kwake kuelekea mafanikio sa we graduate ndo kuanza...
  3. Nyenjerothom

    JamiiForums Tanzania Kuamini katika dini ni kulemaza akili, kuukataa ukweli na kuamini uongo

    Dini ni kilevi cha akili, ni heri ukamjua Mungu tu, masuala ya dini ni kuyaweka kando ili kuwa huru kifikira na kimaisha kwa ujumla. Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
  4. Nyenjerothom

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Hali ya watanzania ni ngumu, ni maskini sana wanaishi kwa kubangaiza, tukifunga nchi hawataweza kula

    Duuuh, tatizo hili! Tz uchumi wa mtu binafsi uko vibaya, uchumi wa serikali yenyewe pia uko vibaya! Vibaya+vibaya=Maafa. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Nyenjerothom

    JamiiForums Tanzania Ukikosa location sahihi ya biashara yako bora usifungue hiyo biashara

    Location nzuri kwa kweli ni tija katika circulation ya biashara,yaani ukipatia location hakika utafurahia matunda mazuri ya biashara. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Nyenjerothom

    JamiiForums Tanzania Jamaa ameamua kumtumikia Mungu ,ameachana na uchafu

    Vema kama kaamua kujirudi Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Nyenjerothom

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya Kidato cha Nne, cha pili na darasa la nne mwaka 2019 yatangazwa

    Shukran kwa updates Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Nyenjerothom

    JamiiForums Tanzania Kuhusu wanaoombewa na kupona HIV makanisani

    Ni ngumu mno kupona magonjwa eti kwa kuombewa,naomba tusiangamie kwa kukosa maarifa kwani maarifa tuliyojaliwa na mwenyezi ndo hayo hayo yanayotusaidia kugundua dawa mbalimbali ambazo kiasi chake zinasaidia kurefusha maisha ya wenye Positive. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Nyenjerothom

    JamiiForums Tanzania Juma Lokole: Nina PhD kutoka UDSM

    Kwanza anabugi sana jamaa,mtoto wa kiume anashobo kila uchwao ni kuongelea maisha ya wengine anatuangusha Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Nyenjerothom

    JamiiForums Tanzania Harmonize - Hainistui (Official Audio)

    Of coz naipa 2.5 Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Nyenjerothom

    JamiiForums Tanzania Kamsemo haka kanawaponza watu katika mahusiano

    Write your reply...et ee
  12. Nyenjerothom

    JamiiForums Tanzania GE2015 Mbunge wa Jimbo la Monduli, Julius Kalanga (CHADEMA), ajiuzulu na kuhamia CCM

    Write your reply...enyi wanasiasa popo mwatutia kichefuchefu looh!
  13. Nyenjerothom

    JamiiForums Tanzania Je, nimruhusu aje kunitembelea mkoa nilipo?

    Haahah bonge moja la ushauri,kama mwerevu huu ndo ushauri sasa auchukue! n ushauri wenye uwazi kabsaaaa
  14. Nyenjerothom

    JamiiForums Tanzania Ole Mushi: Ni vita kati ya wanaCCM asilia na wahamaji?

    Kwa maana ya upili Ccm pia ni mabongolala...
Back
Top Bottom