Je, nimruhusu aje kunitembelea mkoa nilipo?

Je, nimruhusu aje kunitembelea mkoa nilipo?

We kumbe bado mdogo sana eeh. Kama huna mpango nae si busara kumkubalia aje mkoani kwako na kata mawasiliano nae kama umeshapata mwanamke mwingine unaempenda.
 
Hele unachukua bila ushauri ile mengine unataka ushauri...mrudishie pesa yake halaf umwambia asije wala mwanae asikuite baba
Haahah bonge moja la ushauri,kama mwerevu huu ndo ushauri sasa auchukue! n ushauri wenye uwazi kabsaaaa
 
Kapata akili ya kukutafua fb baada ya kuona hana mwelekeo na anatumia nguvu ya fedha kushawshi. Kama ww n rfk kwa nn mtt wake amwambie akuite baba kwa nn acmwambie akuite ancle. Hapo naona ishara ya usalt inanyemelea na ww inaonekana ushaanza kuona huyo anakupenda kulkon ulye nae. Maamuz unayo ww mwenyewe bnafs kwan bnadam tunaongozwa na tamaa sasa angalia tamaa yako. Mwisho ww n mwanaume kuwa na msimamo.
 
Huyo demu atakua anamuonekano mbaya ndio maana hana soko angekua yuko vizuri asinge kutafuta wewe ndio ungemtafuta
 
Wanawake huwa akitamani kuwa na wewe anaamini kuwa unaweza kuachana hata na mke wako wa ndoa na kubaki na yeye.
Ndio wako hivyo wote.

Sasa ile kujua tu kuwa uko kwenye uhusiano na hujaoa na unamfikiria imemuongezea kasi ya kufanya mapinduzi kufikia lengo lake

Huo uhusiano wako hauko salama tena.
Kikubwa mwelewane tu na ukubaliane na utakalokutana nalo
 
Usimuone fala mwanaume mwenzako aliemtelekeza huyo dada lakini akili za kuambiwa changanya na zako mkuu
 
Inakua ngumu kidogo kukushauri kutokana na wewe kutoeleza upande wa pili wa mahusiano yako, ila kikubwa angalia yupi unampenda na ana mapenzi ya dhati kwako, ukimchagua mhasibu hakikisha unapima magonjwa ambukizi kabla ya kuanza uhusiano.
 
Mkuu ww ni mtu mzima , nasmin una msimamo mmoja moyon mwako hadi sasa , any way umeandika kwa hisia sna inaonesha how much na ww una feeling nae moreover mkuu ni kheir ukauskiliza moyo wko kwani hautoweza kujutia baadae....
 
huyu nimwanaume wa mkoani angekuwa wa Dar ingekuwa tofauti
Ushauri mzuri, ila akiufuata si atakosa Hiyo miamala Sasa?

Anataka kufaidi miamala huyu, ndio maana kabaki njia panda.
 
huyu nimwanaume wa mkoani angekuwa wa Dar ingekuwa tofauti
Wa Ajabu huyu, kwanza ana mahusiano tayari , pili inaoneshe Hana hisia na huyo msichana na hana future nae. Ila anachanganyikiwa na visenti anavyopata! Kabaki njia panda!

Simply hajui anachokitaka maishani mwake.
 
Back
Top Bottom