Recent content by Nyavoregwa

  1. N

    JamiiForums Tanzania Ukoo wa Sengiyumva popote mlipo huko Ngara

    Kama maelezo pichani yanavyojieleza
  2. N

    JamiiForums Tanzania Ushuru wa pikipiki

    Sh 680,000/= sawa na sh milioni 11 za hapa bongo
  3. N

    JamiiForums Tanzania Ushuru wa pikipiki

    Msaada nimeipenda hii pikipiki pichani nahitaji kuinunua nchi jirani ya Kenya nahitaji kujua ushuru wake unagharimu kiasi gani hadi usajiri,maana nimeingia kwenye app ya TRA haina option ya kuangalia ushuru wa pikipiki ni magari tu
  4. N

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu matumizi ya OverDrive (OD) kwenye gari automatic

    Yaani hili somo najitahidi kulisikikiza kwa makini naishia kuvurugwa akili yaani unamsikiliza mdau mmoja unamuelewa ukimsikiliza mwingine anakuchanganya tena mara OVD iwe on mara iwe Off yaani duuh!.
  5. N

    JamiiForums Tanzania Harrier Hybrid Consumption

    Nimesema WAZOEFU unaelewa maana ya uzoefu!!???
  6. N

    JamiiForums Tanzania Harrier Hybrid Consumption

    Wakuu habari za kutwa,wazoefu na wataalam wa gari hii tunaomba mtuondolee ubishani huu kijiweni kwetu kwamba gari hii tajwa inatumiaje mafuta km ngapi kwa lita
  7. N

    JamiiForums Tanzania Wiki ya ngapi ni wakati mzuri wa mwanamke kujifungua?

    Hata mimi nina hii kesi, nimekutana na mwanamke trh15 januari jana kajifungua
  8. N

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Natafuta kigali kama hicho suzuki jimny kuanzia namba B offer yangu M4 cash
  9. N

    JamiiForums Tanzania Nimepata mic ya kununua lakini sina uhakika na ubora

    Nimekuelewa mkuu
  10. N

    JamiiForums Tanzania Nimepata mic ya kununua lakini sina uhakika na ubora

    Powa mkuu ninaweza kuitumia kwenye simu samsung note9 maana sina laptop
  11. N

    JamiiForums Tanzania Nimepata mic ya kununua lakini sina uhakika na ubora

    Duh! Haya mambo mashikoro kwangu sijui nijieleze vp yaani kama saiv natumia simu kujirekodi nasoma tangazo kisha nalihamishia kwenye flash disk kisha inachomekwa kwenye amplifier kwa ajili ya kupita mtaani sasa quality ya sauti sio nzuri
  12. N

    JamiiForums Tanzania Nimepata mic ya kununua lakini sina uhakika na ubora

    Nifafanulie kidogo mkuu sizijui hizi mambo mkuu
  13. N

    JamiiForums Tanzania Nimepata mic ya kununua lakini sina uhakika na ubora

    Mkuu hiyo inafaa kwa kurekodia matangazo??
  14. N

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mimi nimepokea ya mikeka mitano japo nilicheza mikeka sita
  15. N

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wewe ni muongo tuliocheza tumerudishiwa pesa tulizozistake yeye kashinda jackpot ipi
Back
Top Bottom