Ushuru wa pikipiki

Nyavoregwa

Senior Member
Sep 17, 2021
118
325
Msaada nimeipenda hii pikipiki pichani nahitaji kuinunua nchi jirani ya Kenya nahitaji kujua ushuru wake unagharimu kiasi gani hadi usajiri,maana nimeingia kwenye app ya TRA haina option ya kuangalia ushuru wa pikipiki ni magari tu
Screenshot_20231013-191310_Facebook.jpg
 
Mwambie anayekuuzia kwenye risiti aweke angalau million 1-2.
Akiweka hiyo bei umekwisha kwa tihara hei hawa ninaowajua mimi
 
Back
Top Bottom