Habari wataalamu,
Mimi naomba kufahamishwa ni wiki ya ngapi mwanamke mjamzito anatakiwa kujifungua?
Naomba kufahamishwa tafadhari.
- Je,akiwahi kujifungua kuna tatizo?
- Je akichelewa kuna tatizo gani kati ya mama au mtoto?
Kuna mdogo wangu anaugomvi na mke wake sababu mke wake amejifungua mtoto wakati mimba inaumri wa miezi minane na wiki mbili je nisahihi kuzaliwa
mtoto mwenye afya njema kabisa kwa muda huo au huyo mkewe alikuja na mimba toka kwao tusaidieni mana anampago wakufata taratibu za kupima DNA yani amani hakuna mpaka kwenye familia yao yeye alikua hajawahi kula mzigo nahuyo mke wake mpaka walipo funga ndoa
Nakushauri mkapime DNA maana hiyo aman haitakuwepo na hiyo nna maana zaidi ya kutafuta amani ndani ya ndoa na kama Mwanamke anakataa basi huyo ni mke wa mtu na si wake sasa kuna haja gani ya kuishi na mke wa mtu, Unajuwa wanaume, wanawake tunachepuka lkn lazima tuzingatie kuwa si tabia na mwenendo mzuri na hii husababishwa na matarajio yasiyokamilika maana pengine kwenye tendo la ndoa mmoja wapo haridhiki na mwengine hajali, lkn pia umeowa mwanamke au kuolewa na mwanamme ambaye ni mtu wa mtu hakukuwa na mapenzi ya dhati kwenu yaani ni shida.Kuna mdogo wangu anaugomvi na mke wake sababu mke wake amejifungua mtoto wakati mimba inaumri wa miezi minane na wiki mbili je nisahihi kuzaliwa mtoto mwenye afya njema kabisa kwa muda huo au huyo mkewe alikuja na mimba toka kwao tusaidieni mana anampago wakufata taratibu za kupima DNA yani amani hakuna mpaka kwenye familia yao yeye alikua hajawahi kula mzigo nahuyo mke wake mpaka walipo funga ndoa
Ongezea nyama hapa mkuuwiki 32 anajifungua mtoto yuko fresh tu.kwa normal calculated from LNMP ukipata 32 ila ukipima kwa utrasound utakuta 36.PIA kupitiliza ck 42.inaleta shida pande zote kwa mtoto anaweza fia tumboni placenta hua linafikia kikomo cha kufanya kazi.so likijiachia halafu mtoto bado yupo tumboni atakosa hewa na vingine
Hata mimi nina hii kesi, nimekutana na mwanamke trh15 januari jana kajifunguaKuna mdogo wangu anaugomvi na mke wake sababu mke wake amejifungua mtoto wakati mimba inaumri wa miezi minane na wiki mbili je nisahihi kuzaliwa mtoto mwenye afya njema kabisa kwa muda huo au huyo mkewe alikuja na mimba toka kwao tusaidieni mana anampago wakufata taratibu za kupima DNA yani amani hakuna mpaka kwenye familia yao yeye alikua hajawahi kula mzigo nahuyo mke wake mpaka walipo funga ndoa