Recent content by nyau wawili

  1. N

    The Road to The 2014 FIFA World Cup - Brazil

    Pia inatakiwa ushangae Klose kuitwa kikosi cha ujerumani,wakat kuna walioperform zaidi yake.futboli fitna si bongo tu!!
  2. N

    TBC na World Cup Brazil 2014

    Zikiwa zimebaki takribani wiki mbili kabla ya kuanza michuano mikubwa ya kabumbu duniani.Huku mashabiki wa soka tumekuwa tukifanya maandalizi ya ili kuweza kushuhudia michuano hiyo.Binafsi sina imani sana na televisheni yetu ya taifa kutuonyesha michuano iyo kama wanavyotuahidi.Nina imani...
  3. N

    Mikopo kwa GRADUATES ili kuweza kujiajiri!

    Tanzania ya miaka ya 70 hatunayo tena.Ambapo kazi zilikuwa zinatafuta watu.lakini leo hii unaitafuta kazi na sio lazima uipate,mwisho wa siku tunaacha ujuzi uliogharamiwa ukipotea bila tija mtaani.Kumekuwa na wimbi kubwa la wawekezaji kila kukicha,hakuna kigeni wanachokuja nacho zaidi ya assets...
  4. N

    Mama Rwakatare aichongea JamiiForums

    watu wenyewe wachafu tayari JF inajaribu kuwasafisha,aaaaaaaaaah maza turiza jazba!!
  5. N

    kazi za wizara ya kilimo

    hivi jamani wana jamii kuna anayejua details za kazi za wizara mana kuna tetesi huku mitaani kuwa mwaka huu watatoa ajira kwa wote wenye digrii waliomaliza vyuo vya kilimo kama wafanyavyo kwa wale wa diploma !
  6. N

    Tusipokemea, Redio Imaan itatuvuruga

    ushauri wa bure!mfungue radio nyingine ambayo itafanya mambo ya siasa na nyingine iendelee kutufundisha dini!too much politics na dini ndan ya siasa na siasa ndani ya dini!
  7. N

    Jk na 'sijui' na 'nashangaa' zake

    may b mr. Prezoo bado yuko katka ndoto hajaanza rasmi kaz yake!nawalaumu zaid waliomuandaa ndio wamefuga ubovu!
  8. N

    Aunt Ezekiel: Mvuto wa kipekee

    many people are so negative about this,coz wanataka africuture ikumbatiwe!angetupia vtu vya ktenge angenoga mara 100000000000!
Back
Top Bottom