kazi za wizara ya kilimo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kazi za wizara ya kilimo

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by nyau wawili, Sep 20, 2011.

 1. n

  nyau wawili Member

  #1
  Sep 20, 2011
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hivi jamani wana jamii kuna anayejua details za kazi za wizara mana kuna tetesi huku mitaani kuwa mwaka huu watatoa ajira kwa wote wenye digrii waliomaliza vyuo vya kilimo kama wafanyavyo kwa wale wa diploma
  !
   
 2. t

  tinaalfred Member

  #2
  Sep 20, 2011
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  amana kaka watatoa tu pinda kasema mi mwenyewe niliskia bungeni
   
 3. KANCHI

  KANCHI JF-Expert Member

  #3
  Sep 20, 2011
  Joined: Sep 3, 2011
  Messages: 1,547
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  WE kuwa mvumilive bwanaaa.
   
Loading...