Recent content by Nyatunyijnr

  1. N

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa mwezi wa waziri mkuu ni sawa na mshara wa zaidi ya walimu 50

    Wanapitisha kima cha chini 180,000,sawa na pesa wanayowapa watoto wao matumizi ya siku moja, jamaa si viongozi Bali ni madicteta
  2. N

    JamiiForums Tanzania Prof. Mukandala afanya kufuru UDSM

    Maisha ndivyo yalivyo nchi yenye mmomonyoko wa maadili unategemea nini, tumia kadili uwezavyo muda wako ukiisha unaondoka, ni lini umewahi kusikia viongozi wanafungwa kwa matumizi mabaya ya ofisi? Hii ndo tanzagiza
  3. N

    JamiiForums Tanzania Madereva wa magari ya abiria wa kwenda mikoani wamegoma

    Uchumi kuyumba hadi mwisho napita tu
  4. N

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Tundu Lissu baada ya kushambuliwa na raisi kwenye Hotuba ya mwisho wa mwezi.

    Tatizo mkuu wa kaya amezoea kudanganywa na watu wake anaowahani, ajitahidi sana kwani kuna siku atasoma kisichoandikwa
  5. N

    JamiiForums Tanzania Hii ndio Nyumba Mpya ya Kisasa ya Mbunge wa Chadema Mwenye Makelele Mengi Sana!!

    Kweli unaweza kukojoa kitandani kisha kesi ukahamishia kwa mtoto, ujinga na upumbavu
  6. N

    JamiiForums Tanzania Kama kweli WAISLAM wanachukizwa WAANDAMANE KUPINGA!!

    Hoja ni nzito ila naogopa sana kwani wahusika wa imani hii hawaonyeshi kuchukizwa na hili
  7. N

    JamiiForums Tanzania Wanawake wanaopenda wanaume wenye pesa hawalijui hili.

    Watambue hivi "pesa ni kila kitu, lakini si kila kitu ni pesa "pesa itumike kufanya maisha yawe safi but siyo kumpenda mtu kwa sababu ya pesa
  8. N

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CCM Wakibadili Mawazo Bungeni Nitarudisha Kadi yangu ya CCM Siku Hiyo Hiyo!!

    Wabunge wa ccm wapo kwa maslahi ya lichama lao na sio kwa manufaa ya nchi, ndo maana ukimbilia kwenye kura za ndiyoooooooo.
  9. N

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka

    Hata mkifunga ndoa mtazaa, sasa kama aliyafahamu hayo kwanini hakutumia kinga? Au imani yake inaruhusu dhambi ya kutoa mimba?
  10. N

    JamiiForums Tanzania "Nasubiri kwa hamu maandamano ya CHADEMA Moshi"!

    Kaka ukiishiwa hoja fanya mazoezi siku nzima, inaonekana umeshindwa hata kutengeneza story unaleta propaganda hayo ndo madhara ya vyeo vya kupewa na kulindana
  11. N

    JamiiForums Tanzania Visa vya kwenye ndoa

    Ndo maana tunaambiwa, wabongo ni wavivu! wa kufikiri tafuta story mpya
  12. N

    JamiiForums Tanzania Breaking neews! Msanii wa filamu auwawa kwa risasi!!!!

    R.i.p.
  13. N

    JamiiForums Tanzania Chukua hiyo

    Naunga mkono hoja
  14. N

    JamiiForums Tanzania Kipi Bora kupendwa na mume au na ndugu za Mume

    Unahitaji kupendwa na mume siyo Ndugu wa mume, kwani unaishi na mumeo au Ndugu zake?
Back
Top Bottom