Recent content by Nyatunyau

  1. Nyatunyau

    JamiiForums Tanzania Hospitali inapomwambia Mwanachama wa NHIF Dawa fulani haipatikani kwenye Bima, Mgonjwa anathibitishaje kwamba ni kweli?

    Hii nchi hata njia inazotumia kutatua kero nazo ni kero tu kwa wananchi mfano mkandarasi wa mchongo aliepewa zabuni ya kujenga mabanda toka mwaka jana hajamaliza hii inaashiria hakuwa na uwezo wafanyabiashara wanazidi kuteseka na Hali ya mvua zinazoendelea
  2. Nyatunyau

    JamiiForums Tanzania Hotuba za Rais Samia hufuatiliwa sana na Watanzania

    Unakatwa wewe
  3. Nyatunyau

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua namna ya kuondoa matangazo kwenye simu

    Habari za majukumu, nimekuja na kero ya kupata adds kwenye simu yangu Kila mara unakuta unaletewa matangazo ambayo huitaji mfano Ile ad ya ADA health[emoji2959] inanikera sana. Mwenye kufahanu jinsi ya kuzuia haya matangazo tafadhali
  4. Nyatunyau

    JamiiForums Tanzania Finland kujiunga NATO

    Atatumia kombora Moja kuelekea nchi gani ? Akithubutu kufanya hivyo urusi itapotezwa kwenye uso wa dunia
  5. Nyatunyau

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume

    Habari jana yu nimeachia thread yangu ,nikitafuta mwanamke mwenye character kama zako.Ni Dm namba zako au nichek WhatsApp 0746375258 tuchek kama tuna match.
  6. Nyatunyau

    JamiiForums Tanzania Timu ya ushindi, kikosi kimetangazwa

    Upuuzi
  7. Nyatunyau

    JamiiForums Tanzania NDOTO BHANA!

    [emoji90]
  8. Nyatunyau

    JamiiForums Tanzania Singida kijiji kizima wahamia CHADEMA baada ya Tundu Lissu kuvuliwa ubunge

    Et kijiji kizima hahaha wasingetosha kwa hiyo camera sight nenda kasome hadhi ya kijiji ,muundo ,sifa ,idadi ya wakazi ....nachukua kikombe kimoja ila sitakunywa hii chai...
  9. Nyatunyau

    JamiiForums Tanzania Mwanamke ni kama Masai Ukimfadhili anakuachia Mashuka

    Ninja unastory za kutisha nikisomaga nakuja kama vle nacheki horror movie...una hatari Sana mdogo wng
  10. Nyatunyau

    JamiiForums Tanzania Ajali njiapanda ya kilingeni

    Wajuvi tunasema hiyoilikuwa ni hitilafu ya kiufundi tu inayotokana na upungufu wa fresh blood kwenye kibuyu na uzito wa ZIGO la kuvunja chaga uliopelekea Ungo kupoteza mwelekeo na kuanguka ardhini..Ila anabahati hakuangukia kwa wahuni wangemvua hizo hirizi af wakamgegeda kwanza
  11. Nyatunyau

    JamiiForums Tanzania Hivi hii ni Serikali ya Kijiji au ni mali ya mwenyekiti wa kijiji?

    Ni wivu tu
  12. Nyatunyau

    JamiiForums Tanzania Mwanza sehemu gani nitapata kazi

    Pole sana mkuu binafsi nimeguswa na hitaji lako,ngoja wananzengo waaamke waje
  13. Nyatunyau

    JamiiForums Tanzania Nilivyomla kiulaini sistadu aliyewashinda wengi

    Dogo mnafungua shule Lin?
Back
Top Bottom