Finland kujiunga NATO

Finland kujiunga NATO

Finland bado maamuzi yao wanayafikiria mara mbili mbili kabla ya ku act.
Russia wameshawapa taarifa kuwa endapo wakifanya huo ujinga basi watajiletea wenyewe matatizo,Russia wapo tayari kuingia vitani na Finland kama watachukua huo uamuzi.
Ngoja tusubiri

View attachment 2183079
Kelele hizo za kuogopa kupigwa mande, Finland na Sweden wanajiunga NATO, na hakuna kitu atafanya, apige sasa nchi za umoja wa NATO tayari aone atavyopigwa mande Urusi , na ndio mwisho wa Putin.
Amewaotea Ukraine mshezi huyu.
 
Mkuu ni hivi Putini alizionya Finland na Sweden zisije zikajaribu kujiunga na NATO na zikijaribu watakiona kama anavyokiona Ukrane siku zile za kwanza za umavimizi dhidi ya ya Ukraine na hizi nchi kweli zilirdhiria ndaro za urusi na kuja na sera ya kuendelea na sera zao kutokufungamana lakini baada hii vita ya Ukraine kuonekana madhaifu ya Urusi kwenye vita, hizi nchi sasa zimebadili mtazamo wanasema watajiunga na NATO ili Russia kama akileta ngebe apokee kibano chengine kutoka Finland na Sweden chini ya baba lao Marekani. Ndio mana tunasema zama za Putini zimekwisha
wanangojea nn wajiunge
ila kabla hawajajiunga waende wakaitembelee kwanza MAURIPOL KHARKIV ODESA bila.kusahau KIEV
halaf wakirudi wakajiunge na NATO
 
Kelele hizo za kuogopa kupigwa mande, Finland na Sweden wanajiunga NATO, na hakuna kitu atafanya, apige sasa nchi za umoja wa NATO tayari aone atavyopigwa mande Urusi , na ndio mwisho wa Putin.
Amewaotea Ukraine mshezi huyu.
amewaoteaje MKUU wakati UKRAINE inaongoza huko field
nasikia inawaua sana makamanda wa RUSSIA
RUSSIA sio ZIMBABWE
 
Sasa ajabu ni nini, nchi 30 zinapigana na nchi moja?
Soma comment ya mwenzio huko kwanza ndiyo uelewe mantiki ya comment yangu,yeye anasema NATO wamewatelekeza Ukrain,wewe unakuja na yako hiyo.Pro Russia kaeni kwanza muelewane kabla ya kuvuragana kwa comment zenu hapa.
 
Mkuu ni Finland na Sweden.,
Tumuone sasa Putin kama ana majeshi ya kupigana na nchi tatu, Putini kamasi lazima zinamtoka, huku mabint wake wamezuiliwa akaunti zao taaban putin
Unadhani huko atapigana kama Ukraine?
Ukraine alikuwa analinda raia wanaozungumza kirusi. Na kule ni OP. Hao wengine atawatangazia vita na so OP

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
 
Rudia hapo kwa Hungary... usisahau Turkey ni nato member, ila yalimpomkuta kwa kutaka kupinduliwa unajua aliyemuokoa? Ndio maana Turkey wapo Nato kimachale machale. Pale kwenye muungano wengine ni wasindikizaji tu...
Lakini wanaona bora wawe hivyo kuliko kuwa na ushirika na Russia kwani ni hasara tu kwao.
 
Nyerere aliwahi kuiga mfumo kama wa Soviet mnaona nchi ilivyokuja kuparara hadi mwaka 1984 Dr. Salim akiwa waziri mkuu kwenye moja ya ziara zake kule Lindi alikuta watu wazima kabisa wakitembea uchi ndio chanzo cha mitumba kuruhusiwa kuingia Tanzania kwani kabla ya hapo Nyerere aliwahi kusema akiwa huko Ulaya kwamba, "It's undignified for a sovereign country laying claim to African leadership to depend on discarded clothes". Ila hadi leo ndizo nguo tunazovaa...!!!
 
Back
Top Bottom