Recent content by nyathika

  1. N

    JamiiForums Tanzania Martin Maranja: Najutia kumpa mtoto wangu jina la “Freeman”

    Duhhh ila Mbowe ana uso mkavu sana
  2. N

    JamiiForums Tanzania Lissu ninayemfahamu mimi kama wanadhani 'Prima Facie' itamnyenyekeza, wanakosea

    Well said... Ila mtawala zile taarabu zake za "who are you?" Zilikua zinaonesha kabisa namna amejipanga na athari za so called "cold war" na ni kama tayari Alisha settle njia yake ya kutokea!!
  3. N

    JamiiForums Tanzania Lissu ninayemfahamu mimi kama wanadhani 'Prima Facie' itamnyenyekeza, wanakosea

    Sawa mamake mpumbavu
  4. N

    JamiiForums Tanzania Msidanganywe na misimamo inayochezwa mahakamani na jopo la majaji chini ya Ndunguru. Lissu yupo hatarini kuliko mnavyodhani

    Umma sio kikundi kidogo cha upuuzi, hata sisi ni umma, na sisi ni wananchi wenye haki na nchi Yao, tutoleeni ujinga
  5. N

    JamiiForums Tanzania Msidanganywe na misimamo inayochezwa mahakamani na jopo la majaji chini ya Ndunguru. Lissu yupo hatarini kuliko mnavyodhani

    Mtakufa wachache mtakaokinukisha, sie tutakua tunawaombea huku tunatype kama hv
  6. N

    JamiiForums Tanzania Msidanganywe na misimamo inayochezwa mahakamani na jopo la majaji chini ya Ndunguru. Lissu yupo hatarini kuliko mnavyodhani

    Kama ambavyo hakuna mamlaka inapatikana Kwa kukinukisha
  7. N

    JamiiForums Tanzania Msidanganywe na misimamo inayochezwa mahakamani na jopo la majaji chini ya Ndunguru. Lissu yupo hatarini kuliko mnavyodhani

    Milio ni mingi sanaaaaa, tufike hatua tuwe na adabu na nidhamu na mamlaka
  8. N

    JamiiForums Tanzania Lissu ninayemfahamu mimi kama wanadhani 'Prima Facie' itamnyenyekeza, wanakosea

    Mi sio mwanasheria na tangu awali naona kesi hii ilichukuliwa kisiasa zaidi Kwa pande zote mbili washtaki na mshtakiwa, shida inarudi kulekule kuanzia October 29, Kuna namna Fulani upande wa upinzani hawaamini vile mambo yanatokea, it's like Kila kinachofanyika kilikua kinalenga kumshinikiza...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Bora LISSU anyongwe kuliko samia Kuitwa Mahakamani

    Baadhi ya watu mlikua mnanshangilia sasa hivi mnaanza milio
  10. N

    JamiiForums Tanzania Wanaume unaweza kudate na mwanamke above 25 years ambaye hana kazi wala chochote anachojishughulisha nacho?

    Mwanamke anatakiwa akae nyumbani Tena ikiwezekana bila hata kupiga deki, kazi anayoifanya ya kukuburudisha, kukuzalia plus kulea ni kazi ambayo haailingani na chochote duniani
  11. N

    JamiiForums Tanzania Mnyika: CHADEMA Haijafanya Mazungumzo na Serikali, Yapinga Kauli ya Rais Samia Lissu kutafakari

    Mama wanyooshe tu Hadi waelewe hao
  12. N

    JamiiForums Tanzania Msemaji asiye na akili Gerson Msigwa kashatia Taifa aibu, Afeki jambo kumfurahisha Samia,DJ Khalid amshushua

    Wazungu nao wapumbavu, kwani hapo ni endorsement hiyo au ni nini, imeandikwa mtu amekaribishwa hajalazimishwa Wala kuvutwa shati, kapewa jezi na kaipokea, dj Khaled alipokeaje Visit Tanzania akijua ana mkataba na explore uganda
  13. N

    JamiiForums Tanzania Nimefurahishwa na Serengeti Boys kutotwaa ubingwa, raha tupu yaani!

    Hongereni watz wenzangu Kwa kupoteza fainali
Back
Top Bottom