Recent content by Nyasiro

  1. N

    JamiiForums Tanzania Azam TV decoder haipokei signal ya remote

    murume ulifanikisha hili tatizo? Nimepata hii changamoto pia. Decoder haipokei kabisa signal. Nimetumia Remote zaidi ya 5 bila mafanikio. Nahitaji kubadili channel nikitumia button za kwenye king'amuzi zinazunguka kwenye channel za movie tu. Mm nataka channel za sports.
  2. N

    JamiiForums Tanzania Router gani nzuri kwa matumizi ya ofisi yenye watu zaidi ya 500

    Well said. Hapo atufute ISP wakae mezani.
  3. N

    JamiiForums Tanzania Mediacom satellite receiver

    Zimeingia channel zaidi ya 400 hata FTA kama ITV haioneshi au hizi ITV,CHANNEL 10, STAR siyo FTA? Naweza kuona DISH ile ya matangazo tu pamoja na CGTV documentary
  4. N

    JamiiForums Tanzania Mediacom satellite receiver

    myoyambendi Vp ulifanikiwaa kupata channels Kaka Chief-Mkwawa na mm nina hii decoder. Nimejaribu kuunganisha kwa kutumia dish la dstv kupitia satelaiti kadhaa... Channel zinaingia lakini hazionekani inaonesha smartcard failure Sina uzoefu na hii kitu nimepewa decoder ina kadi 2 abudhabi na...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa tatizo la internet Connection

    major mwendwa vipi ulifanikiwa? na mimi nimepatwa na tatizo kama lako leo siku ya tano sipati gmail
  6. N

    JamiiForums Tanzania NAOMBA KUSAIDIWA HII KITU

    Siku nyingi sijui kama ulipata tray. Mimi nilinunua hapa Mwanza bila shaka hata Kariakoo utapata. ANGALIZO KIDOGO MKUU: Epson ni delicate sana kuwa makini unapoweka PVC card kwenye tray kwani ukiweka kadi vibaya kuna hatari ya kuua head. Njia nyingine rahisi unayoweza kutumia ni kuprint kwenye...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Tujifunze Namna ya Kutuma SMS kama za Vodacom, Halotel, Tigo, Airtel na NMB/CRDB

    Jaribu www.bongolive.co.tz www.sms.co.tz www.sendsms.co.tz
  8. N

    JamiiForums Tanzania NAOMBA KUSAIDIWA HII KITU

    Kuna printa maalamu za id ambazo zinakuja na software zake soma hapa kwa maelezo zaidi: ID Card Printers - Find an ID Badge or Plastic Card Printer Epson sidhani kama wana printa special kwaajili ya id lakini unaweza tumia model zile zinazoprint cd kama vile T50 au L805 na ukatumia kuprint id...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Division Calculator for CSEE & ACSEE

    Thank you, mkuu
  10. N

    JamiiForums Tanzania Programmer naomba msaada wenu

    Sina hakika wanafanya vipi lakini nnachojua ni kwamba inategemea na content za page/post husika, sio kila link italeta picha. Kwenye wordpress kwa mfano ukiandika post unachagua featured image ambayo inakuwa indexed na post. Kwaiyo kama ukishare link ile featured image inatokea na huu ndio...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa Excel

    Natafuta result grading software
  12. N

    JamiiForums Tanzania Division Calculator for CSEE & ACSEE

    Full version haina limit ya wanafunzi tafadhali tembelea website yetu www.shulemax.co.tz Angalia bei zetu kupitia: Pricing - ShuleMax Unaweza kuwasiliana na mimi moja kwa moja kupitia 0757449054 Tunatoa trial ya siku 15 ambayo itakuruhusu utumie software ikiwa na modules nyingine kama students...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Division Calculator for CSEE & ACSEE

    cc ShuleMax
  14. N

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa Dar es Salaam

    Hamna mradi wowote eneo hilo.
  15. N

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa Dar es Salaam

    Nyumba ipo Dar es salaam, Kigamboni, Mvumoni Km 16 kutoka Ferry kufuata barabara iendayo Gezaulole. Kiwanja kina hati ya miliki ya miaka 33 na kina sqm 811. Nyumba ina vyumba vinne vya kulala na car park. Ina umeme, maji ya kisima chenye pampu ya umeme na tanki la maji. Pia, ina uzio wa ukuta...
Back
Top Bottom