Mediacom satellite receiver

Mediacom satellite receiver

sio lazima mediacom boss, nunua rcv yoyote ambayo ni mpg4 utaweza kupata chanel kibao
Tatizo zingine hazihami masafa, baadhi ya wenye channel wanabadilishaga masafa kila baada ya miezi 3. Utakuwa una kazi ya kumuita fundi abadilishe masafa manually ili uweze kupata upya hizo channels.

Ila mediacom automatically inajitune walipohamishia bila kumuita fundi.
 
HUMAX IR2020HD
myoyambendi Vp ulifanikiwaa kupata channels
naziona zote kwa pamoja BADR 6 hio CNN na National Geographic sema kwa mbele ina neno abudhabi sasa sijui ni ya kiarabu au kingereza. cheki zaidi hapa

Badr 6 at 26.0°E - LyngSat
Kaka Chief-Mkwawa na mm nina hii decoder. Nimejaribu kuunganisha kwa kutumia dish la dstv kupitia satelaiti kadhaa... Channel zinaingia lakini hazionekani inaonesha smartcard failure
Sina uzoefu na hii kitu nimepewa decoder ina kadi 2 abudhabi na aljazeera. Any hints
 
myoyambendi Vp ulifanikiwaa kupata channels

Kaka Chief-Mkwawa na mm nina hii decoder. Nimejaribu kuunganisha kwa kutumia dish la dstv kupitia satelaiti kadhaa... Channel zinaingia lakini hazionekani inaonesha smartcard failure
Sina uzoefu na hii kitu nimepewa decoder ina kadi 2 abudhabi na aljazeera. Any hints
Hizo chanell ni FTA mkuu? Ama za kulipia?

Kama Azam ilikuwa na option ya Other Chanell ambapo tv zote zisizo za kulipia zinakaa, Jaribu kucheki FTA yoyote kama itaonesha
 
Zimeingia channel zaidi ya 400 hata FTA kama ITV haioneshi au hizi ITV,CHANNEL 10, STAR siyo FTA? Naweza kuona DISH ile ya matangazo tu pamoja na CGTV documentary
 
ina maana ipo sawa mkuu, hapo si muelekeo wa dstv? itv ya hapo ipo ndani ya package ya dstv huwezi iona.
 
So wadau. Receiver ya mediacom inaweza shika channel ngapi!? Za uhakika
 
Back
Top Bottom