NAOMBA KUSAIDIWA HII KITU

Mr Equalizer

JF-Expert Member
Dec 14, 2013
611
724
Wakuu salaam,

Naomba kwa wale wataalamu wa haya mambo
Ni programu ( soft ware) gani inayotumika kutengeneza vitambulisho kwa kutumia kadi ngumu yaani ( smart card) mf leseni za udereva n.k

Pili ni Printa namba ngapi ya EPSON inayoweza kuprinti hizi kadi?

Tafadhali anayefahamu anifahamishe.
 
Kuna printa maalamu za id ambazo zinakuja na software zake soma hapa kwa maelezo zaidi: ID Card Printers - Find an ID Badge or Plastic Card Printer

Epson sidhani kama wana printa special kwaajili ya id lakini unaweza tumia model zile zinazoprint cd kama vile T50 au L805 na ukatumia kuprint id lakini utahitaji special tray ambazo zipo amazon/ebay... tray kama hii

id-card-tray-for-epson-l800-l850.jpg

Angalia mfano hapa:
 
Mkuu Nyasiro ,nashukuru sana kaka umenisaidia sana.

Naomba kuuliza hizi tray hazipatikani hapo mitaa ya Kongo?
 
Siku nyingi sijui kama ulipata tray. Mimi nilinunua hapa Mwanza bila shaka hata Kariakoo utapata.

ANGALIZO KIDOGO MKUU:
Epson ni delicate sana kuwa makini unapoweka PVC card kwenye tray kwani ukiweka kadi vibaya kuna hatari ya kuua head.
Njia nyingine rahisi unayoweza kutumia ni kuprint kwenye transparent - pvc sheet then unafanya lamination kisha unakata kwa kutumia card cutter na kupata kadi ngumu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom