Division Calculator for CSEE & ACSEE

Br

Bro unaweza nipa full version inayoweza chukua wanafunzi zaidi ya mia mbili (CSEE)

Full version haina limit ya wanafunzi tafadhali tembelea website yetu www.shulemax.co.tz
Angalia bei zetu kupitia: Pricing - ShuleMax
Unaweza kuwasiliana na mimi moja kwa moja kupitia 0757449054

Tunatoa trial ya siku 15 ambayo itakuruhusu utumie software ikiwa na modules nyingine kama students registration, students editing, deletion & promotion, calculator, results editor, score submission system, report cards generator, sms, data backup & restore.

Baada ya siku 15 unaweza kulipia, kuongeza muda zaidi soma zaidi kuhusu trial hapa: Trial - ShuleMax

Karibu sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom