Azam TV decoder haipokei signal ya remote

murume

Member
Sep 14, 2013
90
80
Wanajamii naombeni msaada decorder yangu ya azam haipokei signal ya remote je inatengenezeka kwani remote ni nzima nimetest kwenye decorder nyingine
 
Remote yako imepoteza kumbukumbu ya decorder.Imetokea kwangu pia.Kariakoo ziko remote za Azam madukani ni 10000 tu.ukienda azam wanauza ghali
 
Back
Top Bottom