Recent content by nyasaland boy

  1. N

    Mpigie Kura FID.Q

    huyu jamaa ni mkali, ntashangaa kama wimbo wa bonta"walaumiwa" hautaingia next year awards, ntajua hawa jamaa wana beef na baadhi ya wasanii"..mangwea mheshimiwa....bi kidude mheshimiwa...runyamila mheshimiwa...!!
  2. N

    Mwalimu umepangiwa Wilaya gani? Kutana na wenzio Hapa

    Mi natokea ludewa,kata ya lumbila, ukifika kule kuna shule utazikimbia mfano! makonde sekondari, lakini nyingine utazipenda kama vile ulayasi sekondari!
  3. N

    Matokeo COET- UDSM first semester hewani.

    Udsm intellectuals do not qurrel for stupid things, ningewaona wa maana kama mngeendelea kulisemea jambo la matokeo ya coet pamoja na prediction ya september conference kuliko malumbano hayo mnayoyaendeleza!
  4. N

    CHADEMA kwa hali hii bado mna maono feki ya kuishika dola mwaka 2015!

    angalieni msije mkayakana majoho na vilemba vyenu hata hivyo sikakatai lakini lolote laweza kutokea!
  5. N

    Je ni kweli GPA Kubwa iliniponza!! Nimechemsha au!!

    Kazi kwako mzee umeshapata mengi i believe kama kweli msomi basi utachambua mchele na makapi unaweka pembeni! nakutakia utekelezaji mwema!!
  6. N

    Selection Tumaini university Makumira 2014

    Naomba mnitafutie jina loveness fedrick shembilu kwa anayeweza kunisaidia!
  7. N

    Confirmed: Tcu selection

    Noma saanaa! but nakumbuka last year wale wa udsm tulikuwa wa kwanza kupata posts kupitia hapa hapa jamvini!!!
  8. N

    Bubujiko la mishara kwa walimu

    UKICHAGUA UALIMU UMEAMUA KUFA MASKINI, ingawa kuna siku naamin kuna mtu atasimama kuwatetea walimu kwan hata viongoz wa juu katika nchi hii hawaon kabisa maisha ya walimu, yaan hata certificate ya nursing inazidi degree ya ualimu!!! du! ama kwel aliyeshiba hamjui mwenye njaa!!
  9. N

    Sherehe za kumuaga Samweli Sitta zavurugika Dodoma

    Tanzania yetu hii jamani hatuna viongoz wenye kuthubutu kufanya mambo yenye tija kwa taifa letu hasa hawa gambazi!!
  10. N

    Mch. Mhe. Dr. Getrude Lwakatare achunguzwe!

    Mmmh! sisemi lolote hapo!
  11. N

    wanaopitia jkt ndio kuingia vyuo vikuu vya serikali

    Ki ukwel umenena,kama itatokea hvyo ndo ishara timilifu kwamba wananchi wanatumia vibaya kula zao pamoja na kodi zao zinapaswa kurudishwa kwan viongoz wanaowapa dhamana wamekuwa mabumbwaz siku hizi
  12. N

    Tukio la Bomu Arusha: The game was planned - kauli ya baadhi ya polisi

    Mambo haya ni kama vle tunaishi na watu ambao ni wahamiaji kumbe na watanzania wenzetu, nataman ingekuwa zaman!! it is not fair,SITAKI KUSIKIA MTU YEYOTE ANAYESEMA TANZANIA NI KISIWA CHA AMAN,huko ni kudanganya watu,aman imepotea!
  13. N

    Tukio la Bomu Arusha: The game was planned - kauli ya baadhi ya polisi

    Ki ukweli ccm watatumaliza jaman, hiv hawa green party wanamalengo mazuri na watanzania kweli!? haya bwana tatizo ni katiba!
  14. N

    Kamanda Lwakatale aeleza jinsi alivyokamatwa, kukaa na kutoka Segerea Kanisani-King'ong'oi

    Kama ni dalili za kupotea kwa aman zimeanza kujitokeza mda hapa bongo,utashaurije nyumba ya mwenzio kutengeneza mapaa huku kwako kunaungua? yuko sawa kagame!
Back
Top Bottom