Baba V
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 19,479
- 9,546
Majanga
Jomba upo!? za muccobs!?
Majanga
Majanga
Jomba upo!? za muccobs!?
Is it yours?
"In my small research which I did around the city,
I found out that bad handwritings of many pupils
are often caused by students writing while sited
on rocks and bending their backs or sitting for a
long time under trees while learning."
Majanga
Na kweli Majanga..umepiga One O'level na Advance alafu wadau wanakuwangia na Div 3 hawana huruma kabisa hawa ndugu.
O'level umesoma Mzumbe wao wanadai umekamuka Kiluvya haya Majanga kaka.
Unasoma LL.B & C.P.A wao wanadai unasoma Sociology kweli Majanga.

😅😅😅😅😅😅😅 DaaahHaya wale wenzangu wa UDSM especially wahandisi wa CoET , jana matokeo ya semester ya kwanza yalitolewa. Nimeshuhudia matokeo ya department ya CME yakiwa yamebandikwa na soon yatawekwa ARIS. Kiujumla matokeo sio mazuri kwani nilishuhudia watu wakishika vichwa kutokana na wengi kutiwa nyavuni(supp), wengine mpaka masomo manne(4). Daah kweli CoET si mchezo.
cocastic jibu swali hapoNJE YA MADA: notification za wale waliochaguliwa kusoma postgraduate udsm itatolewa lini
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app