PONGEZI ZA SHUKRANI KWA KATIBU MKUU WA CCM, DR. BASHIRU ALLY
Tarehe 11/08/2020 ,nilishusha bandiko hili kwa kuomba chama cha mapinduzi kiingilie kati suala la washindi wa kura za maoni ,ndani ya CCM, kwani ilionekana tayari mambo si mambo hasa kwa washindi ambao walikuwa hawaivi na viongozi wa...
Nikiwa kama mwanachama wa muda mrefu naandika kwa masikitiko makubwa sana, mambo yanayofanywa na uongozi wa CCM mkoa wa Tabora wakiongozwa na katibu wa CCM mkoa.
Naamini jukwaa hili ndio njia pekee ya kufikisha malalmiko ambayo yataweza kufika kwa urahisi kwenye uongozi wa CCM Taifa na hatimaye...
Ndugu wana JF
Mitandao ya kijamii ,hasa mtandao unaoheshimika Tanzania wa Jamii Forums ,umekuwa ukitumika na watu mbalimbali wenye nia njema na watu wenye nia ovu, lakini tuhuma zinapotokea lazima zijibiwe ili kuweka rekodi sawa dhidi ya upotoshaji na uchafuaji wa viongozi unaofanywa na...
Ndugu wana JF
Kumetokea juzi andiko ambalo linamtuhumu Dc wa tabora mjini ,Mh. Komanya Kitwala kwa mambo mbalimbali , kiufupi hayo mambo ni ya kutunga na uzushi mkubwa ambao unazushwa na wanufaika wa ufisadi na watu waliozoea kufanya kazi kwa mazoea.
Uzi wa tuhuma huu hapa Mkuu wa Wilaya ya...
*VIJUE VIPAUMBELE NA SERA ZA NDUGU JUMA S. MTORO, MGOMBEA NAFASI YA MWENYEKITI UVCCM –TAIFA.*
*TAARIFA MAHUSUSI*
Jina: JUMA SEIF MTORO
Kuzaliwa: 1987.
Mkoa: Pwani.
Wilaya: Bagamoyo
*ELIMU*
∆2009-2012 :- Chuo Kikuu Cha Dodoma-Shahada Ya Kwanza Ya Maliasili,Utalii na Urithi wa Kitamaduni...
VIJUE VIPAUMBELE NA SERA ZA NDUGU JUMA S. MTORO, MGOMBEA NAFASI YA MWENYEKITI UVCCM –TAIFA.
TAARIFA MAHUSUSI
Jina: JUMA SEIF MTORO
Kuzaliwa: 1987.
Mkoa: Pwani.
Wilaya: Bagamoyo
ELIMU
Chuo Kikuu Cha...
Kwa andiko LA barafu nani anaenda kupoteza ,hivi huwa mnafikiria na kusoma vizuri ,
Kwa trend ilivyo (mole) wanadai barrick kashikwa vibaya mnoo ndio maana anaongeza nguvu lakini hata hao jamaa hawataweza kwanza hawaamini ugumu waliokutana nao pia wajumbe wa Tanzania waliomo kwenye jopo...
*KITABU CHA MASUALA YA GREENHOUSE SASA KINAPATIKANA*
Habari wajasirimali wote na wanajihusiha na kilimo cha kisasa na wanaowiwa kujihusisha na kilimo cha kisasa hasa Greenhouse/Nethouse , sasa kitabu kinapatikana kikiwa kimesheheni mambo mbalimbali kama ;
- Maana ya Greenhouse
-Tofauti ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.