Nani anafaa kupata kiti cha uenyekiti UVCCM?

Nani anafaa kupata kiti cha uenyekiti UVCCM?

Mondoros

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2015
Posts
629
Reaction score
474
Nani anafaa kupata kiti cha uwenyekiti uvccm?

1. Juma Seif Mtoro
2. Juma Boaz Mwaipaja
3. Simon Mathias Kipala
4. Kheri Denice James
5. Mganwa Shaban Nzota
6. Thobias Mwesiga Richard
7. Kamana Juma Simba

Toa maoni yako hapa....

Uchambuzi wangu nitauleta kesho asubuhi na juu ya nani anafaa kuwa mwenyekiti wa UVCCM taifa kwa mwaka 2017-2022
 
KESHO ASUBUHI NITAWASILISHA KWA FUPI WASIFU MDOGO WA KILA MMOJA NA KUTAMATISHA KWA KUAINISHA NI NANI KATI YAO ANAFAA KUPEWA KURA ZA USHINDI..
 
Nani anafaa kupata kiti cha uwenyekiti uvccm?

1. Juma Seif Mtoro
2. Juma Boaz Mwaipaja
3. Simon Mathias Kipala
4. Kheri Denice James
5. Mganwa Shaban Nzota
6. Thobias Mwesiga Richard
7. Kamana Juma Simba

Toa maoni yako hapa....

Uchambuzi wangu nitauleta kesho asubuhi na juu ya nani anafaa kuwa mwenyekiti wa UVCCM taifa kwa mwaka 2017-2022
Anayefaa ni Juma Boazi Mwaipaja kutoka Mbeya, hao wengine ni wasukuma hatuwapi kura

Huyu Simoni Mathias Kipala anatoka Kwimba mwanza ni Msukuma na ndo kaandaa hii list ya wagombea kwa vile yeye yuko usalama makumbusho kwenye dawati la siasa na kumpa Mh,Magufuli

Khery James anatokea Ilemela mwanza, ni Msukuma cha ajabu waligombea watu 113 nchi nzima iweje mkoa mmoja wa mwanza utoe wagombea wawili na wote wasukuma na wote wanajinadi mtaani kuwa wanaungwa Mkono na Magufuli kwahiyo hawa wawili wote hawafai kabisa chama sio cha kabila moja na kanda moja

Thobias Mwesiga Richard, huyu ni Afisa wa usalama anatoka Kagera, Tuliambiwa cheo kimoja mtu mmoja iweje waachwe kupitishwa Vijana wenye uwezo na wasiokuwa na vyeo vingine tupewe watu wenye vyeo naye hafai kabisa isitoshe kadanganya umri kama mwenzie Mathias Kipala

Huyu Simoni Mathias Kipala na Khery James wanaosema Mh,Magufuli anawaunga Mkono hata kwa Bunduki hawata pita labda kama Mh,Magufuli ndo atapiga kura na Makonda na wamejiandaa kuiba kura ili Kipala apite hii haitofanikiwa labda kama hao maafisa wa usalama waliopewa maelekezo watajibadili kuwa wajumbe wapige kura badala yetu

Mganwa Nzota, huyu ni Msukuma kutoka Tabora kwa sasa anafanya kazi SUKI, kigezo cha usukuma moja kwa moja hapati kura labda za wasukuma wenzie, pili tayari ni mtumishi wa chama makao makuu cheo kimoja mtu mmoja, tatu, Alikuwa Katibu wa Hamasa Shirikisho Taifa hakufanya kazi yeyote remarkable hafai kabisa

Khamana Simba Gaddafi, huyu baba yake alikuwa mwenezi wa ccm mkoa wa Dar, alikuwa Team Lowasa 2015 na Dada yake mama Sofia Simba na Khamana kwa sasa anaungwa Mkono na Membe pamoja na Mzee Bulembo hawa wote hafai kabisa kwa ccm ya sasa, na Khamana hana tofauti na Sadifa wanaomjua wataungana nami tukimpa Jumuiya itakufa kabisa tena nafuu ya sadifa.

Juma Mtoro, huyu simfahamu kwa undani bado naendelea na utafiti wake lkn anatokea Dodoma naye hatufai, we need to balance leadership,

Kwa kifupi ni kwamba kwa majina haya tuliyoletewa msitegemee kupata mabadiliko makubwa katika jumuiya hii ya Vijana hata kama Mh,Magufuli atalazimisha kumpitisha Mathias Kipala kama inavyosadikika, huyu hafai kabisa kwani ni mlevi kupindukia ninaimani hata yeye atajuta baadae

Kwa majina haya yaliyoletwa nafuu Juma Boazi Mwaipaja,ninasema nafuu kwasababu Vijana wote wenye uwezo hawakupendekezwa ambao kama wangepitishwa UVCCM ingekuwa jumuiya yenye ushawishi barani Africa.

NOTE, niko naendelea kuandaa uchambuzi mkubwa kuhusu hawa wagombea wote uliyo na taarifa za siri nitakao utoa kwenye magazeti na mitandao ya Kijamii yote siku mbili kabla ya uchaguzi
 
Kipara Kipya na Heri James ni wazee kabisa, vibabu umri wao ni wa kuchakachua.
 
Mpeni huyo mamluki alierudi kwenu juzi juzi....Petrol ya bus......atawasaidiaa ma mburulaa...wa Lumumba
Nani anafaa kupata kiti cha uwenyekiti uvccm?

1. Juma Seif Mtoro
2. Juma Boaz Mwaipaja
3. Simon Mathias Kipala
4. Kheri Denice James
5. Mganwa Shaban Nzota
6. Thobias Mwesiga Richard
7. Kamana Juma Simba

Toa maoni yako hapa....

Uchambuzi wangu nitauleta kesho asubuhi na juu ya nani anafaa kuwa mwenyekiti wa UVCCM taifa kwa mwaka 2017-2022
 
Tuwaachie watu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama watatoa ushauri mzuri wa Nani anafaa
 
CCM inajua kuchambua wagombea wake VIZURI kuliko chama CHOCHOTE Tz na Afrika,uzuri ni kuwa kila aliyemba nafasi kipindi hiki ALIFUATILIWA na MAJIBU kawekewa kwenye FAILI.
 
CCM inajua kuchambua wagombea wake VIZURI kuliko chama CHOCHOTE Tz na Afrika,uzuri ni kuwa kila aliyemba nafasi kipindi hiki ALIFUATILIWA na MAJIBU kawekewa kwenye FAILI.
Wewe muongo kweli walishindwaje kujua kipala kadanganya miaka? Au kwa vile ni miongoni mwa watu walioandaa taarifa za vyombo vya usalama, utakuaje refa halafu ucheze na mpira then hiyo mechi iwe feya
 
Wewe muongo kweli walishindwaje kujua kipala kadanganya miaka? Au kwa vile ni miongoni mwa watu walioandaa taarifa za vyombo vya usalama, utakuaje refa halafu ucheze na mpira then hiyo mechi iwe feya
Nina Imani wewe ndiyo Muongo na Cheap Propagandist,huo umri unaoujua wewe kama mzazi na ambao CCM wanaujua ndiyo ULIOCHUNGUZWA.

CCM haifanyi kazi kwa kelele za MITANDAONI viko vyama ndiyo kazi yao wale ambao ufunguzi wa kampeni 2015 jangwani mgombea akasema Ilani mtaisoma mtandaoni.

Kifupi wagombea wote ni BORA hao,hivi sasa hamtaipata ile chokochoko mnayoipenda ya kugombana ili mjenge vyama vyenu.

Ww tulia kazi imeshafanyika twasubiri Mwenyekiti UVCCM na wapiga kura wake hawawi Busy na Mitandao yenu.
 
Anayefaa ni Juma Boazi Mwaipaja kutoka Mbeya, hao wengine ni wasukuma hatuwapi kura

Huyu Simoni Mathias Kipala anatoka Kwimba mwanza ni Msukuma na ndo kaandaa hii list ya wagombea kwa vile yeye yuko usalama makumbusho kwenye dawati la siasa na kumpa Mh,Magufuli

Khery James anatokea Ilemela mwanza, ni Msukuma cha ajabu waligombea watu 113 nchi nzima iweje mkoa mmoja wa mwanza utoe wagombea wawili na wote wasukuma na wote wanajinadi mtaani kuwa wanaungwa Mkono na Magufuli kwahiyo hawa wawili wote hawafai kabisa chama sio cha kabila moja na kanda moja

Thobias Mwesiga Richard, huyu ni Afisa wa usalama anatoka Kagera, Tuliambiwa cheo kimoja mtu mmoja iweje waachwe kupitishwa Vijana wenye uwezo na wasiokuwa na vyeo vingine tupewe watu wenye vyeo naye hafai kabisa isitoshe kadanganya umri kama mwenzie Mathias Kipala

Huyu Simoni Mathias Kipala na Khery James wanaosema Mh,Magufuli anawaunga Mkono hata kwa Bunduki hawata pita labda kama Mh,Magufuli ndo atapiga kura na Makonda na wamejiandaa kuiba kura ili Kipala apite hii haitofanikiwa labda kama hao maafisa wa usalama waliopewa maelekezo watajibadili kuwa wajumbe wapige kura badala yetu

Mganwa Nzota, huyu ni Msukuma kutoka Tabora kwa sasa anafanya kazi SUKI, kigezo cha usukuma moja kwa moja hapati kura labda za wasukuma wenzie, pili tayari ni mtumishi wa chama makao makuu cheo kimoja mtu mmoja, tatu, Alikuwa Katibu wa Hamasa Shirikisho Taifa hakufanya kazi yeyote remarkable hafai kabisa

Khamana Simba Gaddafi, huyu baba yake alikuwa mwenezi wa ccm mkoa wa Dar, alikuwa Team Lowasa 2015 na Dada yake mama Sofia Simba na Khamana kwa sasa anaungwa Mkono na Membe pamoja na Mzee Bulembo hawa wote hafai kabisa kwa ccm ya sasa, na Khamana hana tofauti na Sadifa wanaomjua wataungana nami tukimpa Jumuiya itakufa kabisa tena nafuu ya sadifa.

Juma Mtoro, huyu simfahamu kwa undani bado naendelea na utafiti wake lkn anatokea Dodoma naye hatufai, we need to balance leadership,

Kwa kifupi ni kwamba kwa majina haya tuliyoletewa msitegemee kupata mabadiliko makubwa katika jumuiya hii ya Vijana hata kama Mh,Magufuli atalazimisha kumpitisha Mathias Kipala kama inavyosadikika, huyu hafai kabisa kwani ni mlevi kupindukia ninaimani hata yeye atajuta baadae

Kwa majina haya yaliyoletwa nafuu Juma Boazi Mwaipaja,ninasema nafuu kwasababu Vijana wote wenye uwezo hawakupendekezwa ambao kama wangepitishwa UVCCM ingekuwa jumuiya yenye ushawishi barani Africa.

NOTE, niko naendelea kuandaa uchambuzi mkubwa kuhusu hawa wagombea wote uliyo na taarifa za siri nitakao utoa kwenye magazeti na mitandao ya Kijamii yote siku mbili kabla ya uchaguzi
Nimeona tu andiko lako nikajua kabisa ww unatoka wapi?Suala la kutaka kuwachafua wasukuma limeingiaje kwenye huu uzi.Hivi kama hao wasukuma wawili wanasifa wasipendekezwe? Mbona kuna baadhi ya taasisi za serikali kupata kitengo kizuri km Mkuu wa mahali hapo si kabila lako hutoboi.Nchi hii haina ukabila ila kuna watu wanataka kutugawa kwa sababu tu serikali ya awamu ya tano ina balance mambo kwani walitaka wao tu wamtafune mama yetu tz bila kujali jamii zingine na kuwa na uroho wa madaraka!
 
*VIJUE VIPAUMBELE NA SERA ZA NDUGU JUMA S. MTORO, MGOMBEA NAFASI YA MWENYEKITI UVCCM –TAIFA.*

*TAARIFA MAHUSUSI*

Jina: JUMA SEIF MTORO
Kuzaliwa: 1987.
Mkoa: Pwani.
Wilaya: Bagamoyo

*ELIMU*
∆2009-2012 :- Chuo Kikuu Cha Dodoma-Shahada Ya Kwanza Ya Maliasili,Utalii na Urithi wa Kitamaduni.

*UZOEFU KATIKA UONGOZI*

►2009-2012: -Katibu tawi la West Kinangali-UVCCM, Dodoma Mjini.
►2009-2012:-Mjumbe kamati ya Utekelezaji UVCCM kata ya Chamwino.
►2009-2012: -Mjumbe Kamati ya Utekelezaji UVCCM wilaya ya Dodoma Mjini
►2009-2012:-Mjumbe Wa Mkutano mkuu UVCCM Mkoa wa Dodoma.
►2010:-Kaimu katibu UVCCM Wilaya ya Dodoma Mjini.
►2010-2012: - Mjumbe wa Halmashauri kuu tawi la Chuo Kikuu Dodoma.
►2010-2012: -Mbunge wa bunge la Serikali ya Wanafunzi chuo kikuu Dodoma.

*SHUGHULI ZA KIJAMII NJE YA CHAMA*

►2013-2014.Mratibu mradi wa elimu ya katiba kwa vijana Tanzania.
►2013-2015.Afisa Mahusiano wa vijana Shirika la Restless Development Tanzania
►2014-2016.Mkufunzi elimu ya ubora na ufanisi makazini kwa Wanafunzi wa vyuo vikuu Tanzania .
►2015 hadi Sasa:-Mtafiti na Mshauri mkuu kituo cha Redio E-Fm na Tv-E Tanzania.
►2016-hadi sasa .Mkurugenzi Mtendaji wa Mtoro education Foundation Tanzania.

*Vipaumbele;*

*►Kutengeneza Mitaji Na Ajira Kwa Vijana Kupitia Mashamba ya Jumuiya na Serikali.*

-Kuanzishwa kwa mashamba ya Miwa, Mgulazi ,Mbigiri,Kagera na kilombero kulima Ekari 200 kila sehemu na kuuziwa viwanda.
-Kilimo cha Kisasa cha umwagiliaji na vitalu nyumba (Greenhouse).
-Pia uanzishwaji wa vituo maalum kila mkoa ,ambapo zitajengwa greenhouse kwa ajili ya mafunzo ya kilimo cha kisasa kwa vijana na kuwezeshwa kimitaji kupitia vikundi.
–Kuanzisha viwanda vidogo vya usindikaji mazao na kuongeza thamani.

*►Kubuni Vyanzo Vipya vya Mapato.*

-Vyanzo Vipya vya Mapato vitabuniwa kutokana na jiografia ya eneo husika , na fursa zilizopo nchini ili kuifanya Jumuiya ikue kiuchumi na kujiendesha kitaasisi.
-Kuanzishwa kwa kilimo cha kisasa katika kila wilaya na mkoa ,Kubuni Vyanzo vya Mapato kutokana na fursa zilizopo wilaya husika , mfano Gairo –viazi vitamu ambavyo vina soko kubwa nje ya nchi sababu ni vya asili n.k

*►Kuifanya Uvccm Taifa Kuwa Ya Kisasa.*

-Jumuiya iwe kimbilio la vijana mbalimbali nchini , kupambana kurudisha kata na majimbo yaliyo upinzani , kutoa semina, makambi na madarasa ya itikadi mara kwa mara kuhusu chama na Jumuiya katika kukipigania chama na kutekeleza ilani ya chama kupitia Kauli mbiu ya Tanzania ya viwanda.

*►Kuifanya Jumuiya Ijiendeshe Kwa Miradi Iliyopo*

-Jumuiya ikiwa imara kiuchumi , tunatengeneza taasisi imara ya vijana watakaoweza simamia serikali ,hivyo miradi ya sasa yenye harufu ya ufisadi tutaipitia upya na wawekezaji wote ili miradi iwanufaishe vijana na Jumuiya, hii itapunguza Jumuiya kuwa ombaomba hasa wilayani na mikoani wakati wa chaguzi za Jumuiya na shughuli mbalimbali.
-Viwanja vilivyopo wilayani na mikoani kutafuta wawekezaji kwa kuingia ubia na wawekezaji ili Jumuiya inufaike , mfano mvomero kutumia kiwanja chao kilichopo wami Sokoine , kukiendeleza kwa kushirikiana na mwekezaji na Viwanja vya maeneo mbalimbali Tanzania.
-Pesa inayopatikana , katika miradi ya wilaya , itatengwa baadhi na kutoa posho kwa makatibu wa Jumuiya kata , walipwe posho ya kuanzia 5000 kuwapa motisha ya kufanya kazi na hali itakavyokuwa inatengemaa posho itakuwa inapenda.

*►Maslahi ya watendaji wa Jumuiya.*

Kuboresha maslahi ya watendaji wa Jumuiya kuanzia ngazi ya Taifa hadi wilayani , kwa kufanya yafuatayo;
-kuingia makubaliano na taasisi za kifedha zianze kuwakopesha
-kuingia makubaliano ya watendaji kujiunga na mifuko ya hifadhi ya jamii
-kuboresha mazingira ya kiutendaji kwa kupeleka samani na vifaa vya kufanyia kazi ,kama printer , kompyuta n.k
-kuwezesha watendaji wapate Usafiri kwa mkoa gari ya Jumuiya na wilaya pikipiki Zitakazo saidia shughuli za Jumuiya.
-kurekebisha mishahara Iendane na hali ya maisha ya sasa.

*►Kupigania 5% ya mfuko wa vijana kila wilaya ili iwasaidie katika ujasiliamali*

Vijana kila kata , watasaidiwa kuanzisha vikundi vya vijana na kufanya ujasiliamali kupitia pesa za 5% na hii itasaidia vijana kupambana na tatizo la ajira , kwani vikundi hivyo vitaunda saccoss ya wilaya na saccoss za wilaya zitaunda saccos ya mkoa.

*Misingi ya Kutekeleza Majukumu yangu;*

-uadilifu
-uwazi
-uaminifu
-kujali usawa

Kauli Mbiu:

*RASILIMALI ZA JUMUIYA ZITENGENEZE AJIRA*.
 
Ukiona bambucha wanampigia yowe MTU jua kuna mahali aliwanyuka,kila la heri kipala,kheri,Mwesiga na Nzoka yoyote atakayepita itawapendeza sana wana CCM kwa ajili ya mstakabali wa chama chao.
 
Tuwaachie watu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama watatoa ushauri mzuri wa Nani anafaa
Kumbe vyombo vya ulinzi na usalama ni part and parcel na ccm kiasi cha kutoa ushauri katika chaguzi zake?
Asante kwa taarifa.
 
Back
Top Bottom