Umenichekeshajeee? Mimi ni mrefu so napenda kuwa na mtu anayenizidi urefu. Naamini hata wewe unavigezo vyako. Kunywa nimesema anaweza kuwa anakunywa lakini sio yule wa kunywa na kupoteza dira.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, mimi mi mwanamke mwenye umri wa miaka 35, elimu degree 2. Nimeajiliwa, dini mkristo. Mengine tutaelezana zaidi PM. Naamini Mungu anakutanisha watu sehemu tofauti na JF ni sehemu mojawapo. Kwa hiyo nami najitokeza kutafuta rafiki wa kumujari ambaye anaweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.