B'REAL
JF-Expert Member
- Oct 20, 2010
- 4,279
- 2,733
Waku wa jukwaa la maanjumati.
Kuna kitu nataka kujua, ukienda ethiopian restaurant kuna vya kula vingi ila mimi ninacho kijua nia anjari[sijui kama nime patia] iko kama chapati ila kubwa sana na niya mchele, mara ya kwanza niliangiza huo msosi doh nilikuwa peke yangu walaah nilibeba maana ilikuwa kubwa sana.
Sijui hamna ndogo au size ni moja pili je ile sosi yake ni sa hii kuimwangia kwenye ile anjari au unakata anjari una toweza kwenye sosi. Je chakula kingene cha ethiopian ambacho mbongo naweza kula ni kipi