Recent content by Nyanjilinji

  1. Nyanjilinji

    JamiiForums Tanzania Soma hapa Ujumbe Mzito wa Rais Samia unaozunguka Duniani kote kwa kasi ya Mwanga

    Aisee unapambana sana
  2. Nyanjilinji

    JamiiForums Tanzania UAE yatangaza kujiondoa rasmi katika muungano wa OPEC na OPEC+

    Petrodollar is going to an end
  3. Nyanjilinji

    JamiiForums Tanzania Miradi yote ya Ujenzi iwe chini ya Wizara ya Ujenzi

    Sawa ila Wahandisi ujenzi wote wahamishiwe Wizara ya Ujenzi
  4. Nyanjilinji

    JamiiForums Tanzania Afande Sele amvisha pete ya uchumba Imani

    Good..
  5. Nyanjilinji

    JamiiForums Tanzania Tukatae ndoa za Jinsia moja - Si utamaduni wetu

    Mkuu acha kupromote mambo ya ovyo
  6. Nyanjilinji

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa wenye kufahamu kuhusu malipo ya Serikali

    Mfumo wa malipo wa BOT unasumbua nchi nzima Kwa takribani wiki sasa.Vumilia kijana maelezo uliyopewa ni ya kweli
  7. Nyanjilinji

    JamiiForums Tanzania Niambieni sio kweli Udanganyifu kwenye mishahara

    Huna ulijualo and I wonder kama ni mtumishi wa umma
  8. Nyanjilinji

    JamiiForums Tanzania Mwenye uelewa naomba msaada kuhusu barabara za mitaa

    Uko sahihi wajifunze kujenga katika maeneo yaliyopangwa na kupimwa huko watapata barabara zilizopo Kwa mujibu wa Sheria na kanuni. Urasimishaji haufanyiki kuboresha makazi wala barabara lengo ni kupata uhalali wa kuwabana Kwenye maduhuli (Kodi ya Ardhi).
  9. Nyanjilinji

    JamiiForums Tanzania Kampuni gani nzuri ya tiles kati ya hizi?

    Mkuu nahitaji hiyo ya katikati kulia, kama ipo nicheck inbox tuyajenge tufanye biashara
  10. Nyanjilinji

    JamiiForums Tanzania UCHAMBUZI: Hoja za NECTA kufuta utaratibu wa kutangaza shule bora na wanafunzi bora hazina mantiki kwa 100%

    Mabadiliko sekta ya elimu yameanza. Hongera sana NECTA Sent from my CPH2197 using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom