Afande Sele amvisha pete ya uchumba Imani

Afande Sele amvisha pete ya uchumba Imani

the guy is stupid na low iq, badala ya kumpigia magoti mke wake eti yeye ndiye anapigiwa magoti, such a selfish fool …
Kweli wewe ni mfalme Juha,kama unasomaga bible au msahafu hakuna unacho ambuliaga.Mwanaume ndoo anapigiwa magoti ndoo kiongozi,wewe umejaa na umagharibi wako unashindwa kutambua vitu vidogo kabisaaa.
 
Kweli wewe ni mfalme Juha,kama unasomaga bible au msahafu hakuna unacho ambuliaga.Mwanaume ndoo anapigiwa magoti ndoo kiongozi,wewe umejaa na umagharibi wako unashindwa kutambua vitu vidogo kabisaaa.

katika utamaduni na mila za kiafrika hakuna mambo ya kuvalishana pete huo ni utamaduni wa Wazungu, na kuna sababu kwa nini Mwanaume wa kizungu hujishusha na kumpigia goti mchumba wake anayempenda na kumuomba akubali kuwa mume wake, sasa wewe mwanamke anakupigia goti halafu anakwambiaje kwamba anakuomba umuoe, au ? haya mambo kama hamuyaelewi siyo lazima muige mnadandia treni kwa mbele bila ya kuelewa ilikotokea na hata inakoelekea, matokeo yake mnaonekana vituko mbele ya dunia …
 
Ni Selemani Msindi na Filipo Nyandindi!!!!
Dah! Nakumbuka ma- song yake jamaa!!!!!!
Kweli kwa Mungu si kwa mzungu.
Hongera zako Afande Sele.
 
Ni Selemani Msindi na Filipo Nyandindi!!!!
Dah! Nakumbuka ma- song yake jamaa!!!!!!
Kweli kwa Mungu si kwa mzungu.
Hongera zako Afande Sele.
Zamani Sana na majani 🎵
Fundi wa vina, mizani, urari!!
 
Bhange anayovuta afande sele kama mtoto wa mama unaweza jiharishia siku kumi mfululizo , mnakumbuka yeye na mwanae 20 percent walivuta bange wakaenda kupigana na vichupi tu pale Nmb Moro town🤣🤣🤣
 
Mfalme wa Rhymes Afande Sele amemchumbia mpenzi wake Imani Makongoro baada ya kupita muda mrefu tangu kufariki kwa mzazi mwenzie Mama Tunda.

View attachment 3433400
Soma pia: Afande Sele: Utaratibu wa kutoka Kituo cha SGR - Morogoro haufai, unachelewesha Watu na unachosha abiria
Rafiki yake na msanii mwenzake Imani ameshea post hii ya Afande Sele kuchumbiana na Imani Makongoro na kuandika

"Hongera sana mwanangu Afande Sele pamoja na mwenzio Imani Makongoro kwa kuchumbiana (Engagement) Mungu awasimamie Jambo hili liwe na baraka tele".

"NB:Baada ya kukaa Mgane miaka mingi toka Mama Tunda ATUTOKE (RIP) hatimaye Mfalme kapata Malkia wa maisha yake".

Chanzo: EastAfrica TV
Mwanamke anaonekana mtu wa kashkash kitandani na nje ya kitanda. Mama eeeh
 
hata wewe hauelewi kama huyo idiot mwenzako kwa nini Christians hupiga goti wanamuuliza binti kuolewa naye, kama hamuelewi maana yake si muonane tu kimila kama mababu walivyofanya enzi na enzi kwa kuviziana vichochoroni kupigana mitama, ila mila za watu kama hamzielewi ziacheni …
wewe kweli kijakazi, mahari nitoe mimi halafu nikupigie goti wakati nakuvisha pete ?
 
the guy is stupid na low iq, badala ya kumpigia magoti mke wake eti yeye ndiye anapigiwa magoti, such a selfish fool …
Kwavile wewe ulipigiwa goti kuvalishwa Pete na mumeo ndio unafikiri wanaume wote ni wajinga?
Unamwaga povu kisa Afande kufanya kile apendacho?
Yani mke wa Afande Sele ameona sawa tu ila wewe ndio unatema povu!

Watu wanakuelekeza ila umekaza tu fuvu! Jinga kabisa wewe.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom