Recent content by Nyani wa Somanga

  1. Nyani wa Somanga

    JamiiForums Tanzania Wana CCM ni dhaifu kunyamazia swala la Nchimbi!

    Kuhoji alipo wakati wanapajua!
  2. Nyani wa Somanga

    JamiiForums Tanzania Nauguza muda Mrefu nauza friji nipate kodi

    Niseme tu poleni kwa kuuguza
  3. Nyani wa Somanga

    JamiiForums Tanzania SIMANZI MOROGORO: Ajali mbili za usiku zasababisha vifo vya watu 32 na majeruhi 37

    Kuna haja ya Serikali kufikilia upya juu ya ruhusa yao ya route za usiku haya Ma bus ya habiria aise.
  4. Nyani wa Somanga

    JamiiForums Tanzania Cristiano Ronaldo aondoka kwenye kambi ya timu ya taifa ya Ureno

    Hbr yenyewe mbona kipisi!.
  5. Nyani wa Somanga

    JamiiForums Tanzania John Heche:Je Betting itaondoa umaskini kwa vijana?

    Mbona hatukusikia CHADEMA wakipinga haya makampuni ya kamali kuingia humu nchini Tanzania kipindi wakiwa Bungeni?!
  6. Nyani wa Somanga

    JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali inatumia nguvu kubwa dhidi ya Tundu Lissu?

    Utawala Magufuli na wa Samia, ni upi umemtendea haki Lissu?
  7. Nyani wa Somanga

    JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali inatumia nguvu kubwa dhidi ya Tundu Lissu?

    Serikali ya hawamu ya sita ni sikivu na inaeshimu utawala wa Sheria, huyu Lissu unaemuonea huruma leo ambae kimsingi ndie chanzo namba 1 cha mauaji Oct 29, ingekuwa hawamu ya Tano , hata apo mahakamani usingemuona anazungusha ngumi yake juu. Mama Samia anastaili pongezi nyingi sana.
  8. Nyani wa Somanga

    JamiiForums Tanzania Ukitaka hela za haraka fungua kanisa kuna majinga mengi; kinachoendelea Kawe kwa Mwamposa kinasikitisha

    Sisi wakristo Mungu wetu Yesu ametunyima Maarifa na kutujaza Ujinga uliotukuka.
  9. Nyani wa Somanga

    JamiiForums Tanzania Kwa wakatoliki huku parokiani kwetu ukiwa hujafunga ndoa ama wewe ni single mother/ baba ukifa hauzikwi na hata watoto wako hawabatizwi tena!

    Sisi wakristo tunajinasibu kuwa na Elimu lkn kwa sehemu kubwa hii Elimu tunayojinasibisha nayo haitusaidi mana tumekosa Maarifa.
Back
Top Bottom