Mschana kuzaa nyumbani ilikua ni dhambi kubwa sana, ila siku hz ni kawaida na hata wachungaji wetu husikii wakiubiri kwamba kuzaa nyumbani kabla ya kuolewa ni dhambi, unaweza ukaingia kwenye mji wa mtu ukamwona mwanamke ana watoto 2 ukiulizia unaambiwa ni binti yupo kwao.
Mbona kila wakati tunaambiwa kwamba mapato ya taifa linaongezeka?, mbona zito akiongea haya anapingwa na kuonekana anafanya siasa? Je hawa wb ni chama gn hapa Tz ?' afu ni vzr hbr hz ziwe zinatoka live pale magogoni.
Tunaeleke kwenye uchaguzi ivyo kuweni makini na wanasiasa, hayo aliyoyasema yamelalamikiwa na watu wengi Tanzania hii hadi vyombo vya kimataifa nashangaa kuona leo katibu huyo akikemea kama ndipo ni mara ya kwanza kusikia, mimi simuamini mwanasiasa kwa kipindi hiki.
Ww biblia inasema mke mwema anatoka kwa Mungu, hayo ya kutumia juhud zako ww mwenyewe ni umalaya, afu watu km nyie ndio huwa mnakataa mimba fikiria umempa moja mimba mimba kwenye kutestiana kisha ukagundua mapungufu kwake je ukimpa mimba utakubali kumchukua mtoto na mamake au mtoto nyoka ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.