Recent content by nyangindo

  1. N

    PreGE2025 Kwani kabla ya Tundu Lissu Makamu Wenyeviti alikuwa ni nani? Na aliondokaje? Suala la Lissu kupatanishwa na Mbowe Kanisani ni Utata!

    Daah wee jamaa unaongelea lissu kuuchukua urais kama vile unaenda kuokota uchafu jalalani yaani una hakika lazima uchafu utakuwepo. Unasahau kuna ccm ambao nyakati kama hizi utadhani hawapo. Upinzani wa nchi hii kupata nguvu kama ile ya vuguvugu la lowassq wana safari ndefu sana. Hebu fikiri...
  2. N

    Kwa Tanzania haina maana kukomaa na shule

    Daah ndugu elimu ilikushinda nini ndo ukaja na huu upuuzi,toka lini elimu ikiawa haina maana. Hata iweje au uwe ktk mazingirq gani mtu mwenye elimu ni mbora kuliko asie kuwa nayo,sasa kama wewe elimu ilikushinda au pengine vijana wako iliwashinda,usiwakatishe tamaa vijana wa wenginw kutafuta...
  3. N

    Wakili Mwakubusi: Vyama vya Upinzani kazi yao ni kufukuzia tu ubunge na ruzuku, haviwezi kulikomboa Taifa

    Usianzishe mambo mapya,vipi kwanza yale maandamano yetu au mwezi bado haujakamilika?au CHADEMA wamekataa kukuunga mkono mshikaji wao?
  4. N

    Ukweli ni huu watawala wametelekeza shule za umma. Kwa sababu watoto wao hawasomi huko

    Hii nchi ngumu sana kulipokuwa na upungufu wa madarasa na kupigwa mapicha mengi watoto wakisomea chini ya miti,ilisemwa wakati huo elimu ilishuka kwa sababu hiyo ya kukosa madarasa na madawati. Sasa madarasa yapo mpaka ya kusaza tunaambiwa tena hali hii inashusha elimu yetu. Leo tunaambiwa eti...
  5. N

    Africa Sub Sahara Best University Ranking; Tanzania yaingiza Muhimbili na Ardhi

    Umesema U Dom si chuo na hakijulikani kabisa,vipi kuhusu vyuo vya Kenya ambavyo vina majina makubwa na havipo ktk hiyo orodha? Hebu tujulishe tuviiteje?
  6. N

    Msaada jinsi ya kumhamisha shule mwanafunzi aliyechaguliwa kidato cha tano

    Mkapa Alisoma kwa wazaramo (pugu) baadae akawa rais. Sozigwa yeye mwenyewe mzaramo Alisoma manerimango baadae akawa mwandishi wa rais. Kusoma ni juhudi yako tu.
  7. N

    Lema asema hakubali mtu kuuawa kwa kuwa ni shoga

    Nafurahi sana nikiona mjadala mkubwa unaohusu ushoga leo hii imekuwa hoja ya kabisa. Zamani wakristo wengi hapa kwetu walitumia nguvu kubwa kuaminisha jamii kuwa tatizo la ushoga ni la waarabu hivyo ni la Waislamu,lakini baada ya kanisa huko kwa wakubwa zao kubariki ushoga kimsingi wanakosa hoja...
  8. N

    Anayesoma Sociology anakuwa nani baada ya kuhitimu?

    Hivi vile tuminara alivyoviona Zuma kule kwa Sir God aliingia ndani au alivikodolea kwa nje tu?
  9. N

    Mashindano ya Division ZERO 2023

    Si ungejiua kabisa maana wataendelea kuwepo tu.na hicho kichefuchefu ka mjamzito ndo utaendelea kuteseka.
  10. N

    NECTA mnafeli wapi?

    Kwani mitihani inaibwa na watoto?au watu wazima (walimu/wenye shule)ndio huwapelekea hayo majibu ya mitihani (wizi). Wanaotakiwa kuadhibiwa ni wezi wa mitihani ambao kimsingi sio watoto kwa sababu wao hawajui hata inapohifadhiwa hiyo mitihani.
  11. N

    Je, Kinana ni mzalendo?

    Lakini kinana hajawahi kuomba uongozi au hili hulijui?tokea huo ubunge na uwaziri vyote anapewa tokea enzi ya Nyerere mpaka hii leo. Lakini uzi wako umejaa chuki za kikabila mara wachaga,wambulu,wasomali na wahindi sijui ulitaka kufungamanisha vipi haya makabila na kinana,upo uwezekano pengine...
  12. N

    DOKEZO Tuhuma za Siasa chafu "Law School of Tanzania" wahusika wajitokeze kuzijibu

    Taaluma ya kijambazi ambayo humnyang'anya haki mwenye haki kwa kutumia ujuzi wa kusema kwa kumhofisha mwenye haki. Taaluma ya kumtetea mwizi ili aonekane hana hatia ili hali huyo mtetezi (wakili) akijua huyo anaemtetea kaiba kweli. Taaluma ya uwakili haina hata chembe ya ubinadamu kutokana na...
  13. N

    Dirisha la Maombi ya Samia Scholarship lafunguliwa

    Hawa jamaa bwana ukisoma viandishi vyao utasema wana vyama imara kumbe hamna lolote.hebu imarisheni kwanza demokrasia ktk vyama vyenu ambavyo viongozi wenu ni kama marehemu Eliza wa UK. Hata mpango hauna uhusiano wote na 2025 SSH ni kiongozi mkuu wa nchi na kila kiongozi ana maono yake. Wengine...
Back
Top Bottom