Msaada jinsi ya kumhamisha shule mwanafunzi aliyechaguliwa kidato cha tano

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,013
8,369
Mie nimemaliza Advance kitambo, sana walimu nisaidieni.

Mdogo wangu amechaguliwa kwenda kusoma pwani Kwa wazaramo, advance na kombi ni PCB.

Nimegoogle shule nikakuta matokeo ya mwaka Jana ilibakia sekunde ishike mkia.

Sikuilaumu, maana mkuu wa wilaya miaka Hiyo alikuwa ni msaniii kazi kutukatisha viuno Wana wa kizaramo.

Nisaidieni namwamishashe maana Bado hajalipoti Kwa hao mabingwa wa viuno.
 
Acha dharau, shule kua kwa wazaramo sio kigezo cha kufeli, walimu sio wazaramo. kama ndugu yako ni kichwa kibovu hata umpeleke wapi atasumbua tu. we ni mjinga
 
Acha kututakana wazaramo kwa upumbavu wako kama huwez kusoma n ww na bichwa lako kama ukoo wenu n wa ovyo hata iweje huyo mdogo wako anaenda kuzungusha hata umpeleke wapi ss tumezaliwa hapo na tumesoma hapo mpk chuo kikuu na ss ivi n mhandisi ss unataka kusemaje achaga usenge
 
Mkapa Alisoma kwa wazaramo (pugu) baadae akawa rais.
Sozigwa yeye mwenyewe mzaramo Alisoma manerimango baadae akawa mwandishi wa rais.
Kusoma ni juhudi yako tu.
 
Mie nimemaliza Advance kitambo, sana walimu nisaidieni.

Mdogo wangu amechaguliwa kwenda kusoma pwani Kwa wazaramo, advance na kombi ni PCB.

Nimegoogle shule nikakuta matokeo ya mwaka Jana ilibakia sekunde ishike mkia.

Sikuilaumu, maana mkuu wa wilaya miaka Hiyo alikuwa ni msaniii kazi kutukatisha viuno Wana wa kizaramo.

Nisaidieni namwamishashe maana Bado hajalipoti Kwa hao mabingwa wa viuno.
Katika shule yangu ya advance kipindi Cha nyuma sana, walikuwa wanazingua kinyama sana, sasa mwaka Fulani kabla hatujaingia akatokea mwamba mmoja hivi, aisee kwa juhudi zake aliweza pata division One ya point 4 na kuwanyanyua wenzake wakafaulu vizuri na kutokuwa na zero.(let's end it here)
Katika maisha , usipokuwa na juhudi na vision hutoboi, isitoshe wapo wanaosoma Kibaha boys PCB wanakula division 3 na inawalazimu wasome diploma ya C.O Ili watimizie ndoto zao na wasiokuwa na uwezo wa kifedha wanabaki kusoma vitu vya ajabu.
Matokeo ya wakati uliyopita hayatoi uhakika kwamba matokeo hayo yatajirudia huko mbeleni.
 
Back
Top Bottom