Recent content by Nyanchabakenye

  1. N

    JamiiForums Tanzania Sisi Yanga suala la Morrison tutakufa na Mtu

    Mtamjenga Ykipe na mahirizi yenu
  2. N

    JamiiForums Tanzania GE2020 Imevuja: Jinsi CCM wanavyopanga kuihujumu CHADEMA

    Chadema wenyewe hao wachumia tumbo tu! Msituchoshe,kafieni mbele huko!
  3. N

    JamiiForums Tanzania Asante Rais Magufuli kupambana na mafisadi TANESCO, sasa umeme sio kero tena na haukatiki muda mrefu

    Kwa hili mh.rais kafanya vizuri sana kongole kwake,ujenzi wa hospital,zahanati na miundombinu ya usafiri katekeleza kwa ufanisi sana
  4. N

    JamiiForums Tanzania Washabiki jiulizeni, ni kwanini wanataka 100%?

    Wewe jamaa zamani nilikuona wa maana sana kumbe hamnazo
  5. N

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu amewasilisha barua kwa Katibu Mkuu wa CHADEMA kuomba kuteuliwa kugombea Urais wa Tanzania

    Huyu hawezi kurudi nchini hata yeye anafaham hivyo
  6. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Siku hizi undugu ni ‘overrated’

    Imenikuta hiyo mkuu! Unahangaika na ndugu alafu wanakunafikia...tupa kule . Ndugu zako ni wanao tu
  7. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kila mpenzi ananikimbia. Hivi nina tatizo gani?

    Vp mwili haubeui wakati wa kubanjuka? Unaweza kuwa unanuka kibeberu
  8. N

    JamiiForums Tanzania Tanzania hakuna chama cha upinzani chenye sifa za kuwa chama cha upinzani

    Mmeanza mipango?
  9. N

    JamiiForums Tanzania Mr. Nice hakujua mziki ni Upepo tu ulimpitia

    Kwa miaka ile wengi tulimuelewa sanaa kuliko hata hizo jejee zenu na ndie alikua super star east africa. Sema teknolojia ilikua chini sana! Hata hao kina Jeje sijui Uno wakati wao ukipita wataonekana hovyo tu
  10. N

    JamiiForums Tanzania Mwenyeto amekataa ofa ya Yanga

    Yondani huyu huyu mtoa assist golini kwake?
  11. N

    JamiiForums Tanzania Je, wajua kuwa hatma ya CHADEMA ipo mikononi kwa Lwakatare? Baada ya CHADEMA kumwaga ugali, Lwaka akiamua kumwaga mboga, CHADEMA kwishney!

    Paschal nadhani hauko sahihi! Ikumbukwe pia haya mambo ya kuwafutia uanachama hufanywa na vyama vyote hasa pale inapotokea kuna utovu wa nidham hivyo kwa CDM si jambo geni kumtimua kada wake muhim km Rwakatale( Zitto alikua muhim zaidi). Hata chama tawala CCM wamepata kuwatimua makada wao mahili...
  12. N

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Wasaliti waanza kulia na kusaga meno. Hakuna kumhurumia yeyote, hakutakuwa na Mswalie Mtume

    No thank you! Nidham ndio kila kitu ktk kuijenga taasisi na si vinginevyo
Back
Top Bottom