Washabiki jiulizeni, ni kwanini wanataka 100%?

Mkuu Kamundu, kwanza nikurekebishe, hakuna yoyote aliyetaka ushindi wa asilimia 100%, na hata ule ushindi wa kishindo cha asilimia 99.9% kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, sio CCM ndio waliotaka, bali ni wananchi ndio waliowachagua katika uchaguzi huru na wa haki, hivyo hata uchaguzi Mkuu wa October, CCM haijichagui bali inakuja kwetu sisi wananchi ndio tunaichagua kwa hiari yetu katika uchaguzi huru na wa haki kwa ule ule mtindo wa unachukua..., unaweka...waaah! bila kujalisha how, na matokeo ya mwisho yanakuwa determined na the end justifies the means.
P
"]Nakusalimu boss..

Kama ujipambanuavyo humu kwa mada zako za "kiuchunguzi" ,

sidhani kama haujawahi kuiona/kuziOna barua za makatibu wa wilaya(ccm) kwenda kwa makatibu wa kata(ccm) katika chaguzi ndogo zilizopita kuwataka wachukue nafasi hizo kwa 100% huku wakiwahakikishia kila kitu huko juu washakiratibu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama kawaida yetu Watanzania tuna utamaduni wa kushabikia tu kila kitu na kwenda na upepo. Lakini kuna wakati mwingine ni lazima tujiulize ili kunusuru taifa. Sio kila lifanyikalo ni kwa manufaa ya taifa kuna mengi sana ambayo viongozi wanafanya kwa manufaa yao kuonesha wenyewe ni miungu.

Kwenye hili la kutaka kushinda kwa namna yeyote 100% ya watu wote wanaochaguliwa bila kujali matakwa ya wananchi ina nia gani kwa taifa. Kwa sasa Tanzania bunge linapitisha chochote watakacho serikali, wana uongozi wote mpaka wilayani kwa 100%. Sasa jiulizeni ni yapi mapya ambayo wanatafuta?

Kwa mtazamo wa haraka haraka wanatafuta wakati ambako hata wabunge wa chama tawala kunyamazishwa. Kamati zote za bunge na CAG kunyamazishwa kabisa.

Vilevile kutafuta njia kunyamazisha hata mitandao iliyopo lakini kuwe na ubadilishaji wa sheria bila watu kujua.

Sasa kabla ya kushabikia kila kitu jiulize: Baada ya Magu kuondoka, tumeshaona muda ulivyo mfupi. Je, tukipata mtu mbinafsi itakuwaje? Mjue hii miradi mikubwa haijafika hata nusu na Magu ataondoka bila kumaliza? Treni hadi Dodoma bado; sasa itafika lini Kigoma?

Mradi wa umeme bwawa ndiyo wanasafisha njia itachukuwa miaka mingapi kuwa umeme?

Vilevile kuna uwezekano kabisa nia ya Magu ni kuwa na Bunge la kumuongezea muda madarakani kwa kisingizio cha miradi kutokukamilika na kutokuwaamini viongozi wengine.

Na kwasababu kutakuwa hakuna upinzani atasema sasa nani atazungumza kukitokea rushwa? Hivyo nia ni kuweka bunge lisiloaminika kwa wananchi na kubaki na serikali kuu pekee kama muhula mmoja tu.

Kwenye huo muhula mmoja nao wakumwamini awe mtu mmoja tu ambaye ni Rais. Sasa hivi wanatafuta mbinu za kuzuia mitandao kama hii ili Watanzania wasijue lolote.
Wameshindwa kwa miaka yote 59 ya Uhuru, Leo wanasema ccm mpya, iliyoshindwa in ile ya zamani.

hawako tayari kuachia madaraka kwa wengingine ili waje na ubunifu mpya wa Sera na itikadi mpya.

Kakikundi ka watu wasizidi 20 ndani ya ccm kanaitesa nchi, ili kulinda ufisadi
 
Mkuu Kamundu, kwanza nikurekebishe, hakuna yoyote aliyetaka ushindi wa asilimia 100%, na hata ule ushindi wa kishindo cha asilimia 99.9% kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, sio CCM ndio waliotaka, bali ni wananchi ndio waliowachagua katika uchaguzi huru na wa haki, hivyo hata uchaguzi Mkuu wa October, CCM haijichagui bali inakuja kwetu sisi wananchi ndio tunaichagua kwa hiari yetu katika uchaguzi huru na wa haki kwa ule ule mtindo wa unachukua..., unaweka...waaah! bila kujalisha how, na matokeo ya mwisho yanakuwa determined na the end justifies the means.
P
Mmmh Mayalla!!!!!!!!?!!!!!!!?!!!!!!?

Pascal usiwe msahaulifu, unaposema hakuna aliyesema wanataka asilimia mia hiyo asilimia ullyoibakisha wewe itatangazwa na nani! Agizo lilikwisha tolewa nalo ni hili, nimekuteua mimi, ninakulipa mshahara mimi! Nyumba na gari nimekupa mimi halafu nikusikie umemtangaza eti mpinzani ameshinda! Baada ya hapo tulishuhudia maeneo wapinzani walikoshinda viongozi wakimuomba msamaha na kuahidi watazingatia agizo lake iweje wewe Pascal utengue agizo hilo! Kama unaouwezo huo anza kuruhusu mikutano ya wapinzani ifanyike bila vikwazo.
 
Mkuu Kamundu, kwanza nikurekebishe, hakuna yoyote aliyetaka ushindi wa asilimia 100%, na hata ule ushindi wa kishindo cha asilimia 99.9% kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, sio CCM ndio waliotaka, bali ni wananchi ndio waliowachagua katika uchaguzi huru na wa haki, hivyo hata uchaguzi Mkuu wa October, CCM haijichagui bali inakuja kwetu sisi wananchi ndio tunaichagua kwa hiari yetu katika uchaguzi huru na wa haki kwa ule ule mtindo wa unachukua..., unaweka...waaah! bila kujalisha how, na matokeo ya mwisho yanakuwa determined na the end justifies the means.
P
wananchi wa wapi waliofanya uchaguzi wa serikali za mitaa?
 
Tume ya Uchaguzi NEC ni Tume Huru ila sio shirikishi.
P
Tume huru ni ile ambayo viongozi wake hawateuliwi na mtu mmoja bali huajiriwa kwa kuomba nafasi na kufanya intavyuu baada ya nafasi zake kutangazwa, hey Pascal hapa haujibishani na watoto wa shule ya msingi.
 
Kama kawaida yetu Watanzania tuna utamaduni wa kushabikia tu kila kitu na kwenda na upepo. Lakini kuna wakati mwingine ni lazima tujiulize ili kunusuru taifa. Sio kila lifanyikalo ni kwa manufaa ya taifa kuna mengi sana ambayo viongozi wanafanya kwa manufaa yao kuonesha wenyewe ni miungu.

Kwenye hili la kutaka kushinda kwa namna yeyote 100% ya watu wote wanaochaguliwa bila kujali matakwa ya wananchi ina nia gani kwa taifa. Kwa sasa Tanzania bunge linapitisha chochote watakacho serikali, wana uongozi wote mpaka wilayani kwa 100%. Sasa jiulizeni ni yapi mapya ambayo wanatafuta?

Kwa mtazamo wa haraka haraka wanatafuta wakati ambako hata wabunge wa chama tawala kunyamazishwa. Kamati zote za bunge na CAG kunyamazishwa kabisa.

Vilevile kutafuta njia kunyamazisha hata mitandao iliyopo lakini kuwe na ubadilishaji wa sheria bila watu kujua.

Sasa kabla ya kushabikia kila kitu jiulize: Baada ya Magu kuondoka, tumeshaona muda ulivyo mfupi. Je, tukipata mtu mbinafsi itakuwaje? Mjue hii miradi mikubwa haijafika hata nusu na Magu ataondoka bila kumaliza? Treni hadi Dodoma bado; sasa itafika lini Kigoma?

Mradi wa umeme bwawa ndiyo wanasafisha njia itachukuwa miaka mingapi kuwa umeme?

Vilevile kuna uwezekano kabisa nia ya Magu ni kuwa na Bunge la kumuongezea muda madarakani kwa kisingizio cha miradi kutokukamilika na kutokuwaamini viongozi wengine.

Na kwasababu kutakuwa hakuna upinzani atasema sasa nani atazungumza kukitokea rushwa? Hivyo nia ni kuweka bunge lisiloaminika kwa wananchi na kubaki na serikali kuu pekee kama muhula mmoja tu.

Kwenye huo muhula mmoja nao wakumwamini awe mtu mmoja tu ambaye ni Rais. Sasa hivi wanatafuta mbinu za kuzuia mitandao kama hii ili Watanzania wasijue lolote.
Hiyo ndiyo nia ya CCM mpya,kuwa na Rais wa maisha,wabunge vibogoyo na mahakama vivyo hivyo.Hapo pakifikiwa hakika tutasaga meno na hakuna wa kutusemea atakayesurvive
Huu ndiyo wakati, tusipochukua hatua tumekwisha.???Bahima Empire is impending???
 
Mkuu Kamundu, kwanza nikurekebishe, hakuna yoyote aliyetaka ushindi wa asilimia 100%, na hata ule ushindi wa kishindo cha asilimia 99.9% kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, sio CCM ndio waliotaka, bali ni wananchi ndio waliowachagua katika uchaguzi huru na wa haki, hivyo hata uchaguzi Mkuu wa October, CCM haijichagui bali inakuja kwetu sisi wananchi ndio tunaichagua kwa hiari yetu katika uchaguzi huru na wa haki kwa ule ule mtindo wa unachukua..., unaweka...waaah! bila kujalisha how, na matokeo ya mwisho yanakuwa determined na the end justifies the means.
P
Nani mwenye akili timamu atakwambia CCM hawa manipulate uchaguzi? CCM wanaliangamiza hili taifa kwa kushindwa kujenga strong Democratic institutions zitakazolinda maslahi ya taifa na wananchi, wao wanajiona wazalendo kuliko watu wengine but the fact is , CCM is an enemy of the people and of this country, MTU anataka hadi CAG asikilize matakwa yake ya kisiasa bado hamuoni hatari?

Sisi watu weusi tuna nini kwa nusu karne bado kuna umasikini ? The most fascinating thing is, chama hicho hicho kimoja kimetawala toka Uhuru, hamna policy coherence or even predictability even though watawala wanatoka chama kile kile na wanateuliwa na kamati zile zile!

Sipendi tujizalau ila ukweli ni kwamba hata CCM YENYEWE haina mifumo mizuri ya kuandaa the most smartest and the intelligent of all kuwa viongozi, uongozi CCM inaonekana ni zari na uchawi. Tupo hapa, tutaendelea kuwa masikini vizazi na vizazi!
 
Mkuu Kamundu, kwanza nikurekebishe, hakuna yoyote aliyetaka ushindi wa asilimia 100%, na hata ule ushindi wa kishindo cha asilimia 99.9% kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, sio CCM ndio waliotaka, bali ni wananchi ndio waliowachagua katika uchaguzi huru na wa haki, hivyo hata uchaguzi Mkuu wa October, CCM haijichagui bali inakuja kwetu sisi wananchi ndio tunaichagua kwa hiari yetu katika uchaguzi huru na wa haki kwa ule ule mtindo wa unachukua..., unaweka...waaah! bila kujalisha how, na matokeo ya mwisho yanakuwa determined na the end justifies the means.
P
Zaman nilikuwa naamini age comes wisdom i.e the older u become the wiser you become. Lakini Pascal M type imeni prove wrong big time
 
Kama kawaida yetu Watanzania tuna utamaduni wa kushabikia tu kila kitu na kwenda na upepo. Lakini kuna wakati mwingine ni lazima tujiulize ili kunusuru taifa. Sio kila lifanyikalo ni kwa manufaa ya taifa kuna mengi sana ambayo viongozi wanafanya kwa manufaa yao kuonesha wenyewe ni miungu.

Kwenye hili la kutaka kushinda kwa namna yeyote 100% ya watu wote wanaochaguliwa bila kujali matakwa ya wananchi ina nia gani kwa taifa. Kwa sasa Tanzania bunge linapitisha chochote watakacho serikali, wana uongozi wote mpaka wilayani kwa 100%. Sasa jiulizeni ni yapi mapya ambayo wanatafuta?

Kwa mtazamo wa haraka haraka wanatafuta wakati ambako hata wabunge wa chama tawala kunyamazishwa. Kamati zote za bunge na CAG kunyamazishwa kabisa.

Vilevile kutafuta njia kunyamazisha hata mitandao iliyopo lakini kuwe na ubadilishaji wa sheria bila watu kujua.

Sasa kabla ya kushabikia kila kitu jiulize: Baada ya Magu kuondoka, tumeshaona muda ulivyo mfupi. Je, tukipata mtu mbinafsi itakuwaje? Mjue hii miradi mikubwa haijafika hata nusu na Magu ataondoka bila kumaliza? Treni hadi Dodoma bado; sasa itafika lini Kigoma?

Mradi wa umeme bwawa ndiyo wanasafisha njia itachukuwa miaka mingapi kuwa umeme?

Vilevile kuna uwezekano kabisa nia ya Magu ni kuwa na Bunge la kumuongezea muda madarakani kwa kisingizio cha miradi kutokukamilika na kutokuwaamini viongozi wengine.

Na kwasababu kutakuwa hakuna upinzani atasema sasa nani atazungumza kukitokea rushwa? Hivyo nia ni kuweka bunge lisiloaminika kwa wananchi na kubaki na serikali kuu pekee kama muhula mmoja tu.

Kwenye huo muhula mmoja nao wakumwamini awe mtu mmoja tu ambaye ni Rais. Sasa hivi wanatafuta mbinu za kuzuia mitandao kama hii ili Watanzania wasijue lolote.

Ni wakati wa kurudi kwenye hii hoja
 
Hata mimi zamani nilikuwa simwelewi ila Sasa nimeshamuelewa. Ukikutana na comment yake isiyo na uhalisia jua ana mainisha kinyume chake.
Mi nadhani ni bora mwandishi ueleweke na 90% ya wasomaji, hii style ya uandishi wa pasco ni ya kitoto haisaidii kuwapa uelewa wasomaji no uandishi wa ki- comedian, useless
 
Mkuu Kamundu, kwanza nikurekebishe, hakuna yoyote aliyetaka ushindi wa asilimia 100%, na hata ule ushindi wa kishindo cha asilimia 99.9% kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, sio CCM ndio waliotaka, bali ni wananchi ndio waliowachagua katika uchaguzi huru na wa haki, hivyo hata uchaguzi Mkuu wa October, CCM haijichagui bali inakuja kwetu sisi wananchi ndio tunaichagua kwa hiari yetu katika uchaguzi huru na wa haki kwa ule ule mtindo wa unachukua..., unaweka...waaah! bila kujalisha how, na matokeo ya mwisho yanakuwa determined na the end justifies the means.
P
Wewe jamaa zamani nilikuona wa maana sana kumbe hamnazo
 
Simple logic Paskali
Kama refa na kamisaa tayari wamevaa Jezi za Simba na refa anasema kuche kusiche lazima Yanga ifungwe kuwa nini Yanga wasiweke mpira kwapani. Acha ukapuku
Hakuna kitu kizuri kama kuwa a realist.
Mimi nilishauri vizuri kabisa hapa
Kwa Kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?

Na hapa
Trend Reading: Wanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je tunarejea nchi ya Chama kimoja?

Na hapa Swali la Ukweli Mchungu: Je, 2020 Magufuli ana mpinzani au mshindani, au Ni Magufuli tu?!.

Na hapa
Je, CHADEMA inaweza kushinda 2020? Is it serious, credible & mature enough opposition?!.

Uchaguzi wa 2020 ni CCM pekee and only CCM!.
Mwenye masikio na asikie!.
P
 
Back
Top Bottom