Recent content by Nyamwezi Boy

  1. Nyamwezi Boy

    JamiiForums Tanzania Vodacom, huu wema umeanza lini?

    Mkuu, si kifurushi cha internet pekee, hata SMS na kupiga simu. Unaweza kusitopisha salio la kawaida lisitumike.
  2. Nyamwezi Boy

    JamiiForums Tanzania Wahitimu wenye alama za kawaida wanafanya vizuri sana kwenye kazi

    Shukrani sana Mkuu
  3. Nyamwezi Boy

    JamiiForums Tanzania Wahitimu wenye alama za kawaida wanafanya vizuri sana kwenye kazi

    Vipi kuhusu Bcom in Accounting, Bcom in Finance, Bcom in Banking and Financial services hapo UDSM
  4. Nyamwezi Boy

    JamiiForums Tanzania Wahitimu wenye alama za kawaida wanafanya vizuri sana kwenye kazi

    Kozi gani hapo UDSM
  5. Nyamwezi Boy

    JamiiForums Tanzania Bachelor of commerce in tourism and hospitality management.

    Umekuwa nani kwasasa
  6. Nyamwezi Boy

    JamiiForums Tanzania Changamoto tunayopaswa kukabiliana nayo

    Shukrani sana, na kwako pia.
  7. Nyamwezi Boy

    JamiiForums Tanzania University of Dar es Salaam (UDSM) special Thread

    Kati ya tarehe 9-11 mwezi wa 10, au kabla ya tarehe hizo selection itakuwa tayar
  8. Nyamwezi Boy

    JamiiForums Tanzania Njia ya rahisi ya kumkamata mtu anayekudanganya/muongo

    BADILISHA KICHWA CHA THREAD YAKO KIWE KWENYE LUGHA YA ENGLISH. ILI SIE AMBAO HATUJUI KIZUNGU TUPITE MBIO.
  9. Nyamwezi Boy

    JamiiForums Tanzania Watalamu wa haya mambo nisaidieni hapa

    Hayo ni mawe Mkuu
  10. Nyamwezi Boy

    JamiiForums Tanzania GE2020 Lissu kuzungumzia tozo kwa wajawazito Sumbawanga, ni kweli zipo ndugu zangu CCM au anadanganya?

    Mkuu, hiyo avatar yako inanikumbusha machungu sana. Nikweli kodi ya uzazi ipo hata mkoani Tabora kinamama hulipishwa kodi baada ya kujifungua
  11. Nyamwezi Boy

    JamiiForums Tanzania Ujio wa Sex Dolls: Dunia inaenda kasi

    Hahahahah, Mkuu unahasira sana
  12. Nyamwezi Boy

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo (HESLB) yafunga dirisha la maombi

    Hiyo ni fedha ya wanufaika wote kuanzia first year nakuendelea. Mkopo kwa first year ni kwawanafunzi 54,000
Back
Top Bottom