Watalamu wa haya mambo nisaidieni hapa

Watalamu wa haya mambo nisaidieni hapa

Mudugu

Senior Member
Joined
Mar 17, 2018
Posts
145
Reaction score
138
Nimeona hili jiwe limenichanganya kulingana na linavyoonekana. Kwa yeyote anafahamu kuhusu hili jiwe naomba anifahamishe
Ni jiwe gani. Maana nahisi kama madini hivi

IMG-20200919-WA0007.jpg
IMG-20200919-WA0005.jpg
IMG-20200919-WA0003.jpg
IMG-20200919-WA0000.jpg
 
Hilo mkuu linafaa sana kusugulia miguu ya mwanamke aliyetoka kujifungua majuzi. Litunze litakufaa mbeleni
 
Sifa kubwa ya madini yoyote n magumu..easily bend,hardly break...em piga kwa nyundo...ikipasuka kama mchanga achanaa nayo
 
Back
Top Bottom